mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Faiza faiza faiza!! kweli?? haya!! kumbukeni kuweka akiba ya maneno!! huku kwenye siasa huwa hakuna adui wa kudumu au rafiki wa kudumu!! kesho Dr Slaa anaweza kuwa boss wako wa chama!! Boss wako wa chama leo anaweza kuwa hasimu wako kesho!! Dunia hii huwa inazunguka!! Wenye hekima huweka akiba ya maneno!!Nani amtumie yule? Labda mwenyewe alikuwa anajipendekeza kwa thamani ndogo.