Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

...
Dr Slaa ataishi kwa mawazo na msongo wa mawazo mkubwa sana maana Hakuna kitu kibaya Duniani kama kukosa Amani ya moyo.
...
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. ...

Lucas Hebel mwashambwa ndugu yangu, unaogelea maji mafu, utazama.

Kwa jinsi unayempamba, kila bandiko lako, humu JF, ni mfu maji kama wewe. Kama bado unaamini ni kiongozi bora, mpe ushauri ufuatao.

Rais amrudushie Dr Slaa, heshima yake ya Balozi. Kwa jinsi alivyojipambanua kwenye suala la uwekezaji bandari, kwa mkataba mbovu kabisa, ambao Serikali inawajibika kulinda haki za mwekezaji, ambazo pia zinapingana na Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za nchi (soma kiambatanisho), ni habari nyingine kisiasa. Iwapo atasimamishwa na chama cha siasa cha upinzani, hakuna shaka kabisa CCM itafia mikononi mwake huyo unayempamba.

Na imeandikwa katika Biblia Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
View attachment 2737549
 
Lucas Hebel mwashambwa ndugu yangu, unaogelea maji mafu, utazama.

Kwa jinsi unayempamba, kila bandiko lako, humu JF, ni mfu maji kama wewe. Kama bado unaamini ni kiongozi bora, mpe ushauri ufuatao.

Rais amrudushie Dr Slaa, heshima yake ya Balozi. Kwa jinsi alivyojipambanua kwenye suala la uwekezaji bandari, kwa mkataba mbovu kabisa, ambao Serikali inawajibika kulinda haki za mwekezaji, ambazo pia zinapingana na Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za nchi, ni habari nyingine kisiasa. Iwapo atasimamishwa na chama cha siasa cha upinzani, hakuna shaka kabisa CCM itafia mikononi mwake huyo unayempamba.

Na imeandikwa katika Biblia Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Dr Slaa hana huo uwezo wa kumtikisa wala kumpa changamoto ya aina yoyote ile katika sanduku la kura Rais wetu mpendwa mama samia suluhu Hasssan. Hakuna mtanzania anayeweza mpatia kura yake Dr Slaa na hakuna chama chenye wafuasi wengi hapa nchini kinachoweza mpatia Dr Slaa Nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Rais samia anakubalika na kupendwa sana na watanzania.Mayendo na kauli zake ndizo zimemponza Dr Slaa mpaka kupokonywa hadhi ya ubalozi.Asione aibu kuomba msamaha kwa Taifa letu na Rais wetu ili asamehewe .huwezi kuendelea kushikilia hadhi ya ubalozi wakati kauli zako zinahatarisha usalama wa Taifa letu na kuchochea machafuko hapa nchini. Hakuna yeyote na kiongozi wa aina yoyote ile ambaye angeweza kumvumilia Dr Slaa kwa hatua aliyokuwa amefikia.
 
Actually nqpingana kabisa wanaosema Dr Slaa msaliti na mnafiki...
Dr Slaa Yuko consistent kabisa...
Siku zote anapigania Kanisa katoliki baasi ..
Alijiunga Ccm kumfata mkatoliki mwenzie...na sasa anataka kujiunga Chadema au opposition kupambana na Rais ambae sio mkatoliki mwenzie...
Dr Slaa hajawahi saliti Kanisa lake.....
Hata walipo muadhibu Kwa "weakness yake Kwa wanawake" still amekuwa loyal na kupigania Kanisa...
Unaposema anapigania kanisa katoliki baasi una maana gani? Hili suala la Bandari ni la kanisa katoliki? Kama sio, how come you generalize kuwa siku zote anapigania kanisa lake wakati sio kweli? Nyie ndio wapotoshaji kuwa Samia anakosolewa kwa sababu ni muislamu which is very shallow: wewe ulivyokuwa unamkosoa Mkapa ulifanya hivyo kwasababu hakuwa dini yako? Acha kujivunjia heshima uzeeeni!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na kudharaulika na kila mtu. Haaminiki kwa yeyote wala kupewa faraja na yeyote.

Hakuna anayetaka kusimama na Dr Slaa kwa sasa, wala kuzungumza na Dr Slaa wala kupanga mipango au mikakati au ajenda au kuandaa sera na Dr Slaa, kwa sasa kila mtu na kila kundi au kila Taasisi au jumuiya inamuona Dr Slaa Kama mtu msaliti na mwenye ndimi mbili, Anaonekana kama mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi, mtu mwenye uchu wa madaraka na mroho wa mamlaka,mtu mwenye chuki na mnafiki.

Hakuna anayetaka kujishughulisha na habari za Dr. Slaa wala kufuatilia habari zake wala kumtetea kwa lolote.Amekatalika na vijana, wazee,akina mama, wajane na watu wa makundi yote. Dr Slaa aliyekuwa akisimama mahali anaitwa Rais Rais kwa mbwembwe na madoido sasa Hakuna anayetaka hata kumuona mbele yake wala kusikia maneno yake. Ufalme wake umedondoka na kuvunjika vunjika,haelewi ashike wapi au asimame wapi maana hakuna anapoaminika wala kupokeleka.

Vijana waliokuwa wakimpa jeuri ,kumuamini,kumpenda,kumpigania,kujitoa mhanga kwa ajili yake,kupoteza masomo na kufukuzwa vyuo kwa ajili yake,kukosana na watu kwa ajili yake kwa sasa hawana habari naye wala kutaka hata kumsikia wala kumuona machoni pao,hawataki kusikia sauti yake wala maneno yake,wanamuona kama msaliti na asiyefaa kabisa hapa Duniani.

wanajuta kumfahamu,wanajuta kupoteza na kupotezewa muda wao na Dr Slaa hasa wakikumbuka walivyopigwa mabomu ya machozi kwa ajili yake,kulala mahabusu kwa ajili yake,kupigwa mijeledi kwa ajili yake,kufilisiwa mali kwa ajili ya kumuunga mkono yeye,kutengwa na ndugu kwa ajili yake na kupoteza ndoto zao kwa ajili yake.kwa hakika wakikumbuka haya madhira wanamlaani sana Sana Dr Slaa,wanaona uchungu sana mioyoni mwao ,hawataki hata kumsikia na wanafurahi sana kwa uamuzi wa kijasiri na kishujaa aliouchukua mh Rais wetu mama Samia Suluhu Hasssan wa kumvua hadhi ya Ubalozi.

Kwa sasa Dr Slaa Hakuna anapokaribishwa kuweka hata miguu yake. Haelewi arudi nyuma au aende mbele,haelewi amuombe nani msamaha na ampigie nani magoti maana kila mahali anaona alishaharibu na kusaliti, kila mahali alishapoteza heshima yake,kila mahali alishapoteza uaminifu,kila mahali alishapoteza nguvu yake ,kila mahali alishaoonyesha kuwa siyo wa kuaminika wala kuaminiwa na kila mahali alishawaumiza na kuwajeruhi watu na mioyo yao inatiririka machozi na Damu ya mateso aliyoyawapatia na kuwasababishia .

Anamaliza uzee kwa majuto na maumivu ya hali ya juu sana,anamaliza kwa masononeko,anamaliza kwa kuiona Hadithi yake ikiwa mbaya na kitabu chake cha matendo yake kikitupwa chini na kusiginwa na kila mtu. Alioanza nao wote hawamtaki maana wote wanaona amekiuka viapo vyote alivyoapa na kuwasaliti.

Mtu na kiongozi pekee aliyekuwa amemsitiri na kumtunzia heshima alikuwa ni Amiri jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hasssan.sasa Dr Slaa kwa chuki zake Binafsi akajiona kuwa yeye ni mwamba,Jemedari na komandoo.akaanza vituko hadi vya kuwaza habari za kutaka kumpindua Rais wetu na Serikali yake. Akaanza kuhamasisha machafuko na lugha za kuhatarisha usalama wa Taifa letu na umoja na mshikamano wetu kama Taifa,akaanza kuleta dharau na ubaguzi kwa mh Rais.Akaanza kutaka kuleta utani na mchezo na mboni na Nembo ya Taifa letu .

sasa amepigiwa baada ya kubipu.Simu moja tu imempa pigo la maisha ambalo hata lisahau,kwa kuwa alidhani watanzania wapo upande wake kumbe walishamtoa katika mioyo yao na kumpuuza siku nyingi sana.Sasa amekatalika kila sehemu na kuzomewa kila mahali, na kila mtu hayupo Tayari kumsemea wala kumtetea wala kumuunga mkono wala kusimama upande wake.

Namshauri tu kuwa Aende kanisani akapige magoti na kunyenyekea mbele za mwenyezi Mungu na kuomba msamaha Hadharani kwa Taifa letu.Bila kufanya hivyo kwa hakika Dr Slaa ataishi kwa mawazo na msongo wa mawazo mkubwa sana maana Hakuna kitu kibaya Duniani kama kukosa Amani ya moyo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ww unatakiwa ufukuzwe CCM au upewe katazo unamuaribia maza
 
ccm kazini
 
kama ni uzalendo basuii ni huu wa Dr Slaa.
Kama ni ukweli Dr kaamua kuutetea ukweli.
kama ni ushujaa, Dr ni shujjaa.

Unapoamua kupambana na "shetani" hutakiwi kuangalia utapoteza nini!
 
Na sisiemu wasipokunyofoa unawatengenezea kaburui 2025. Hoja zako ni za kujenga chuki na wananchi. Kitu ambacho ccm wanatakiwa kuki-avoid nyakati hizi. Hv hampewi semina huko unajiandikia utumbo hovyo!
Naona wewe ndiye unajiandikia tu kwa kukurupuka tu.watanzania wanaendelea kuwa na imani na CCM kutokana na kazi kubwa iliyoifanya katika kuwapelekea maendeleo pasipo ubaguzi wala upendeleo wa aina yoyote ile.
 
Actually nqpingana kabisa wanaosema Dr Slaa msaliti na mnafiki...
Dr Slaa Yuko consistent kabisa...
Siku zote anapigania Kanisa katoliki baasi ..
Alijiunga Ccm kumfata mkatoliki mwenzie...na sasa anataka kujiunga Chadema au opposition kupambana na Rais ambae sio mkatoliki mwenzie...
Dr Slaa hajawahi saliti Kanisa lake.....
Hata walipo muadhibu Kwa "weakness yake Kwa wanawake" still amekuwa loyal na kupigania Kanisa...
Kanisa lipi
 
Ww ni mole,traitor. Sijui kwanini fisiemu hawajakugundua muda wote
 
Hata wewe unampenda Samia kwakuwa ana madaraka, Siku yakiisha wewe na wenzako mtamkimbia.
Kama Dkt Slaa angewasifia kwenye uharamia wenu angekuwa kipenzi cha Rais na nyinyi wapambe wake. Ukitaka ujue, rejea alipojiondoa Chadema mlimuona mwema kwakywa alikuwa anatimiza lengo lenu la kijinga la kuvuruga upinzani, leo kawaambia ukweli mnataka kuaminishana huyo ni adui wa nchi nzima.
Hayati Magufuli alipigiwa kura zote za ndio na CCM akiwemo Makamba Senior, ilaakipokufa ndio tuligundua kumbe mzee wa watu alistahili kupata kura nusu yake, tena hata ya Samia huenda asingeistahili.
CCM ni adui wetu mkubwa na sio Dkt Slaa.
 
Wee mzee mbona mchezo pendwa ni sunna huko kwenu?
Jisomee:

Actually nqpingana kabisa wanaosema Dr Slaa msaliti na mnafiki...
Dr Slaa Yuko consistent kabisa...
Siku zote anapigania Kanisa katoliki baasi ..
Alijiunga Ccm kumfata mkatoliki mwenzie...na sasa anataka kujiunga Chadema au opposition kupambana na Rais ambae sio mkatoliki mwenzie...
Dr Slaa hajawahi saliti Kanisa lake.....
Hata walipo muadhibu Kwa "weakness yake Kwa wanawake" still amekuwa loyal na kupigania Kanisa...
Ngoja nilijadili katika levels ulizochagua kuzicheza.
Je, lipoondoka CCM na kujiunga na CHADEMA, Je, CHADEMA ilikua chini Mkatoliki gani?
Alipovunja kiapo chake cha Sakrament ya Upadre?
Akafunga ndoa ya Kanisa?
Alipovunja kiapo chake cha Sacrament ya Ndoa?
Alipoachana na uumini kwa Kanisa Katoliki na kujiunga kuwa muumini kanisani kwa Gwajima?
Alipoenda Canada akafunga ndoa kwenye Kanisa lingine.
Je, huko ndiyo unaita kulipigania Kanisa? Kanisa lipi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na kudharaulika na kila mtu. Haaminiki kwa yeyote wala kupewa faraja na yeyote.

Hakuna anayetaka kusimama na Dr Slaa kwa sasa, wala kuzungumza na Dr Slaa wala kupanga mipango au mikakati au ajenda au kuandaa sera na Dr Slaa, kwa sasa kila mtu na kila kundi au kila Taasisi au jumuiya inamuona Dr Slaa Kama mtu msaliti na mwenye ndimi mbili, Anaonekana kama mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi, mtu mwenye uchu wa madaraka na mroho wa mamlaka,mtu mwenye chuki na mnafiki.

Hakuna anayetaka kujishughulisha na habari za Dr. Slaa wala kufuatilia habari zake wala kumtetea kwa lolote.Amekatalika na vijana, wazee,akina mama, wajane na watu wa makundi yote. Dr Slaa aliyekuwa akisimama mahali anaitwa Rais Rais kwa mbwembwe na madoido sasa Hakuna anayetaka hata kumuona mbele yake wala kusikia maneno yake. Ufalme wake umedondoka na kuvunjika vunjika,haelewi ashike wapi au asimame wapi maana hakuna anapoaminika wala kupokeleka.

Vijana waliokuwa wakimpa jeuri ,kumuamini,kumpenda,kumpigania,kujitoa mhanga kwa ajili yake,kupoteza masomo na kufukuzwa vyuo kwa ajili yake,kukosana na watu kwa ajili yake kwa sasa hawana habari naye wala kutaka hata kumsikia wala kumuona machoni pao,hawataki kusikia sauti yake wala maneno yake,wanamuona kama msaliti na asiyefaa kabisa hapa Duniani.

wanajuta kumfahamu,wanajuta kupoteza na kupotezewa muda wao na Dr Slaa hasa wakikumbuka walivyopigwa mabomu ya machozi kwa ajili yake,kulala mahabusu kwa ajili yake,kupigwa mijeledi kwa ajili yake,kufilisiwa mali kwa ajili ya kumuunga mkono yeye,kutengwa na ndugu kwa ajili yake na kupoteza ndoto zao kwa ajili yake.kwa hakika wakikumbuka haya madhira wanamlaani sana Sana Dr Slaa,wanaona uchungu sana mioyoni mwao ,hawataki hata kumsikia na wanafurahi sana kwa uamuzi wa kijasiri na kishujaa aliouchukua mh Rais wetu mama Samia Suluhu Hasssan wa kumvua hadhi ya Ubalozi.

Kwa sasa Dr Slaa Hakuna anapokaribishwa kuweka hata miguu yake. Haelewi arudi nyuma au aende mbele,haelewi amuombe nani msamaha na ampigie nani magoti maana kila mahali anaona alishaharibu na kusaliti, kila mahali alishapoteza heshima yake,kila mahali alishapoteza uaminifu,kila mahali alishapoteza nguvu yake ,kila mahali alishaoonyesha kuwa siyo wa kuaminika wala kuaminiwa na kila mahali alishawaumiza na kuwajeruhi watu na mioyo yao inatiririka machozi na Damu ya mateso aliyoyawapatia na kuwasababishia .

Anamaliza uzee kwa majuto na maumivu ya hali ya juu sana,anamaliza kwa masononeko,anamaliza kwa kuiona Hadithi yake ikiwa mbaya na kitabu chake cha matendo yake kikitupwa chini na kusiginwa na kila mtu. Alioanza nao wote hawamtaki maana wote wanaona amekiuka viapo vyote alivyoapa na kuwasaliti.

Mtu na kiongozi pekee aliyekuwa amemsitiri na kumtunzia heshima alikuwa ni Amiri jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hasssan.sasa Dr Slaa kwa chuki zake Binafsi akajiona kuwa yeye ni mwamba,Jemedari na komandoo.akaanza vituko hadi vya kuwaza habari za kutaka kumpindua Rais wetu na Serikali yake. Akaanza kuhamasisha machafuko na lugha za kuhatarisha usalama wa Taifa letu na umoja na mshikamano wetu kama Taifa,akaanza kuleta dharau na ubaguzi kwa mh Rais.Akaanza kutaka kuleta utani na mchezo na mboni na Nembo ya Taifa letu .

sasa amepigiwa baada ya kubipu.Simu moja tu imempa pigo la maisha ambalo hata lisahau,kwa kuwa alidhani watanzania wapo upande wake kumbe walishamtoa katika mioyo yao na kumpuuza siku nyingi sana.Sasa amekatalika kila sehemu na kuzomewa kila mahali, na kila mtu hayupo Tayari kumsemea wala kumtetea wala kumuunga mkono wala kusimama upande wake.

Namshauri tu kuwa Aende kanisani akapige magoti na kunyenyekea mbele za mwenyezi Mungu na kuomba msamaha Hadharani kwa Taifa letu.Bila kufanya hivyo kwa hakika Dr Slaa ataishi kwa mawazo na msongo wa mawazo mkubwa sana maana Hakuna kitu kibaya Duniani kama kukosa Amani ya moyo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Your imagination is on a wild run.
 
Huwa sikisii kabisa.

Hana heri kabisa huyo mzee, kama unabisha mkaribishe siku moja tu nyumbani kwako, uje kutowa majibu.

Jiulize kwanini?

Mimi jibu nnalo. Muulizeni Josefina.

Msinisemeshe mengi.
Najua wewe ulikuwa humpendi tangu zamani, itabidi tukuunhe mkono maana hata mie keshanikera
 
Back
Top Bottom