Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Pascal_TZA

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
27
Reaction score
76
Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu.

Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Akiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada ya DPP kueleza hana nia ya kuendelea na shauri hilo

 
Wavimba macho walimpokea Lowassa sembuse Slaa.Atapokewa kwa mikono miwili ili atimize kazi iliyobakia.
 
akaribishwe kwa mikono miwili; marope mbona naye karudishwa kundini
 
Back
Top Bottom