Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa mpya hiyo ya muda huu. Dr Slaa kurudi Chadema
 

Attachments

  • IMG_0525.jpeg
    IMG_0525.jpeg
    861.3 KB · Views: 2
  • IMG_0526.jpeg
    IMG_0526.jpeg
    712.2 KB · Views: 2
Mwaka 2015 lowassa alishinda ila alikosekana mtu makini wa kushinikiza kutangazwa Kwa mshindi halali

Kupitia uchaguzi huu ndo nilisema haitotokea nikapiga kura

Maana Lipumba , Slaa na mbowe hawa walikuwa na uwezo Ku -mobilize wananchi kuiondoa ccm by any means
 
Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu.

Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Akiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada ya DPP kueleza hana nia ya kuendelea na shauri hilo

Yaani hapa ndiyo tunatofautiana kabisa na nyie nyoko. Dkt Slaa ni mzalendo wa nchi hii eti unambambika majina ya kijinga uliyomezeshwa na mr zero aka kengeza mbowe, shoga linalobanduliwa mbowe shenzi zenu, mkome ku demonize watu kijinga kijinga

Uko sahihi .

Ni lazima pawe na vyama vyenye kusimamia upande mmoja ama kwa mafisadi,wauaji ,watekaji ,wala rushwa ,wabinafsi ,walaghai ,madalali wa Nchi au Kusimama kwenye misingi ya kujenga Taifa bora lenye kuheshimu utu na haki na kupinga dhulma uonevu na wizi wa rasilimali za umma.

Wapo watu ndani ya CCM na Chadema wasufurahishwa na ubovu wa katiba iliyopo hao ni lazima wasimamie haki na katiba bora ipatikane .

Ni wazi kuwa Awamu hii wazalendo wasipoungana huko tunakoenda hali itakua mbaya sana .

.Kila fisadi anatamani kupata uongozi kwa kutumia katiba hii inayowanufaisha na kuwatajirisha watu kwa kiwango kikubwa sana bila kuulizwa wala kuhojiwa .

Wanaoulizwa na mfumo huu ni wengi na wanufaika ni wachache sana .

Kama mfumo haukujui ni wazi kuwa inabidi usimama na wengi kudai katiba na sheria bora zitakazoliweka taifa hili liwe salama kwa wote .

Nchi ambayo usalama wa nchi uko kwa ajili ya watawala peke yao inahitaji kurejeshwa kwa umma sasa . Walipa kodi hawaheshimiki wala kuthaminiwa katika sanduku la kura .Watu wamechoka kuchaguliwa viongozi na familia ya mtu mmoja kwa manufaa yake na marafiki zake .
 
Mtu yoyote timamu hawezi dharau kazi alitofanya Slaa, na utayari wake wa kutoa mchango wake kwa Chadema ni wa kupongezwa.
 
Chanzo?

Nakumbuka jinsi Lissu alivyomshambulia Slaa personally.

No permanent friends or enemies in politics.

Just permanent interests 😀.
Mavi ya kale hayanuki, walisema wahenga. Na yaliyopita si ndwele
 
Muda wake umeisha, apumzike sasa awaachie vijana
Vijana wepi hao!!??
Hawa hawa sampuli ya Mwijaku na Baba Levo!!??
Vijana hawa wanaoshinda siku nzima wakijadili mpira wa miguu!!??
Vijana hawa hawa wanajiita "chawa wa fulani"!!???

Vijana wa Tanzania mumelala, acha wazee tupiganie Tanzania bora ya kesho kwa ajili ya wajukuu na vitukuu vyetu.
 
Back
Top Bottom