Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni ukurasa mpya kwenye siasa za Tanzania, Taifa linahitaji harakati mpya kupambana na hili jina CCM linalowanyonya damu CCM.

Hakuna wakati ambao Watanzania walipaswa kuonyesha hasira CCM kama huu, hela za walipa kodi zinachezewa kila kukicha kwenye matamasha ya wasanii na sherehe za chama.
 
Karibu Dr Slaa Chadema, mbinu yako ya kumlipua Abdul na pesa zake kwenye uchaguzi WA Chadema ilisaidia pakubwa Sana!
 
Safi sana, karibu Mzee Dr.Slaa karibu tena CHADEMA yaliyopita si ndwele ✌️😄
 
Chanzo?

Nakumbuka jinsi Lissu alivyomshambulia Slaa personally.

No permanent friends or enemies in politics.

Just permanent interests 😀.
Wakati amejiunga na kambi ya madhalimu ilibidi apewe ukweli wake.
 
Kazi ipo.

Jambo limezua Jambo.

Jela haijawahi kuwa kikwazo kwa wanaharakati/wanamapinduzi bali huwa ni catalyst ya harakati zao.

Mshauri wa Mama ndio mchawi anaemloga Mama.
Dr Slaa mwanaharakati mpinga Rais muislam?
 
Kazi ipo.

Jambo limezua Jambo.

Jela haijawahi kuwa kikwazo kwa wanaharakati/wanamapinduzi bali huwa ni catalyst ya harakati zao.

Mshauri wa Mama ndio mchawi anaemloga Mama.
Dk. Slaa can never bring any political change in this country. He had time but it had already gone!
If you don't believe me, let's have a debate on this issue after five years from today.
 
Vipi huyo sokwe wenu mwenye miaka 80 na bado yumo tu
ahaa ahaaa du tutumie lugha laini kidogo wandungu sisi watanzania huwa wastaarabu sana ndugu, muite mzee msinziagi tu maana ana watoto na wajukuu wakisoma babu kuitwa sokwe wanaumia sana , ni wazo langu tu
 
Sijataja kina imekuwaje ni yeye?
 
Back
Top Bottom