Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Pre GE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Babu Mihogo aka liability Mzee wa kuchungulia fursa 😁😁
Yaani hapa ndiyo tunatofautiana kabisa na nyie nyoko. Dkt Slaa ni mzalendo wa nchi hii eti unambambika majina ya kijinga uliyomezeshwa na mr zero aka kengeza mbowe, shoga linalobanduliwa mbowe shenzi zenu, mkome ku demonize watu kijinga kijinga
 
Hakuna ubaya acha awe CDM. Mbona CCM walinunua watu kwa ujinga wa kuunga mkono juhudi za shetani Magu.
 
Chama cha Siasa kinahitaji watu, ukipata kura 5,000 na mwenzio akapata kura 5,001 huyo mwenye 5,001 ndiyo atakuwa mshindi
Sio kwa mfumo wa uchaguzi uliopo tanzania.
Huku ni kumdhibiti anayetangaza matokeo.
Anayetangaza matokeo ndio kila kitu mfano akitangaza matokeo ya urais hatakiwi kuhojiwa popote hata akitangaza uongo
 
Tukiwaambia Tz hakuna wapinzani wa kisiasa, wengine hawaelewi
baadhi ya wana siasa ni watu wa system, vibaraka, wasanii wa kisiasa

huyo atakaribishwa CDM na kuendelea na kazi anazopangiwa

upinzani unahitaji damu changa zenye msisimko wa mabadiliko
 
Sio kwa mfumo wa uchaguzi uliopo tanzania.
Huku ni kumdhibiti anayetangaza matokeo.
Anayetangaza matokeo ndio kila kitu mfano akitangaza matokeo ya urais hatakiwi kuhojiwa popote hata akitangaza uongo
Umeongea sahihi sana Mkuu

Japo hoja yangu ilikuwa juu ya Chadema kumhitaji Dr Slaa ili kuongeza idadi ya wanachama wake
 
wawe naye makini, na wawe na uhakika alikuwa gerezani kweli sio kwamba alikuwa anaishi home na kuamkia gerezani, isije kuwa ccm wameset ili aingie chadema awe anachota siri na kuwapa ccm. hana cha kupoteza hapo, kwanza ameshezeeka.

halafu, josephine yupo wapi? wanawake kwa nini huwa mnakuwa hivi?
 
Aje, tutampokea kwa mikono miwili.
 
Slaa akirudi CDM Mimi pia ntaungana nae huko.
Huyu ni mzalendo wa kweli.
Alikataa uhuni wa gia ya angani
 
Aje, tutampokea kwa mikono miwili.
Kwanini asiende Ccm

He did the mistakes mwaka 2015 maana uwezekano wa kukamata power upinzani ungepitia kwake by any means hata kushinikiza mshindi halali kutangazwa

Mtu ambaye hana maono hafai

Hii kitu nilimdharau Sana maana Combination ya Slaa , Lowassa , Lipumba ilikuwa too powerful


Kiufupi huyo hafai na hakuna Movement yoyote atakayoweza kufanya Kwa sasa.
 
Back
Top Bottom