Pascal_TZA
Member
- Mar 25, 2014
- 27
- 76
Rudi tuu MzeeAkiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada ya DPP kueleza hana nia ya kuendelea na shauri hilo
Movie hii......tusiingizwe kwenye mkenge wa 2015.Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu.
Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi
Akiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada ya DPP kueleza hana nia ya kuendelea na shauri hilo
Chama ni cha wananchi wote, chama ni mali ya umma ndio maana vyama vinatumia pesa za umauma zinaitwa Ruzuku ni kodi za wananchi.Atarudi tuu na watampokea!
Kama unanuna vimba upasukeWavimba macho walimpokea Lowassa sembuse Slaa.Atapokewa kwa mikono miwili ili atimize kazi iliyobakia.
Ndevu kwa Osama?Asije akawa ni jasusi
Nanuna?Nafurahi wavimba macho hawajifunzi.Kama unanuna vimba upasuke