Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Achana na wapuuzi hao ngoja waomboleze
Hakuna mpuuzi kama wewe.
Usidhani sina akili ninapoandika hayo niliyoandika hapo na mtu kama wewe kudhani naunga mkono mnayoyasimamia na huyu mhujumu mkuu wa nchi yetu.

"Upuuzi" wa huyo niliyemjibu mimi hautofautiana na huo wako unaoshangilia hapa JF kila siku.
Sina chochote ninachoungana nawe kwenye jambo lolote lile, labda huo u-Tanzania wetu tu basi.

Naomba unielewe hivyo.
 
Hakuna mpuuzi kama wewe.
Usidhani sina akili ninapoandika hayo niliyoandika hapo na mtu kama wewe kudhani naunga mkono mnayoyasimamia na huyu mhujumu mkuu wa nchi yetu...
Wapuuzi wote washughulikiwe haraka sana bila kuchelewa
 
Zanzibar siyo mkoa bali ni sehemu ya Tanzania ambayo ina autonomous power.

Mimi siyo Mzanzibar na siyo Mtanganyika kwa sababu hata Passport yangu na NIDA vinaonyesha mimi ni Mtanzania
Hiyo ni kujiondoa akili tu, na ni sawa kwako kufanya hivyo.

Kama wewe asili yako siyo Zanzibar wala Tanganyika, utakuwa umetokea nje ya nchi na kuchukua U-Tanzania?

Hata kama ingekuwa hivyo, unapoishi na kufanyia shughuli zako kutakuhusisha na sehemu mojawapo ya maeneo hayo.

Tueleze, kama hupo Zanzibar, upo wapi sasa hivi.
 
Wadau, kwa mujibu wa Sauti ya Ujerumami (DW) mchana wa leo imedai Padri, Balozi Dr. Wilbroad Peter Slaa amehamishiwa jijini Mbeya ili kuunganishwa na wenzie Boniface na Mdude. Taarifa za ndani zinadai Slaa amesafirishwa kwa elikopta ya JWTZ alfajiri ya kuamkia leo!
Tulijulishwa kuhusu hili tangu Jana usiku humu humu JF
 
Hivi Balozi Hana kinga ya kutoshitakiwa?
Kosa la uhaini hata uwe Rais mstaafu mwenye Kinga utabebwa tu

walikuwa wanadhani Rais akiwa Mwanamke wa Kizanzibari anakuwa Raia Usu!

Walitahadharishwa mapema kabisa kuwa ukniparua nitakuparua
 
Hiyo ni kujiondoa akili tu, na ni sawa kwako kufanya hivyo.
Kama wewe asili yako siyo Zanzibar wala Tanganyika, utakuwa umetokea nje ya nchi na kuchukua U-Tanzania?
Hata kama ingekuwa hivyo, unapoishi na kufanyia shughuli zako kutakuhusisha na sehemu mojawapo ya maeneo hayo.
Tueleze, kama hupo Zanzibar, upo wapi sasa hivi.
Nipo Mwanjelwa Mbeya karibu na shule ya Mkapa
 
Hiyo misingi alioiacha huyo baba wa taifa ndio hiyo hiyo anayoifata huyo Raisi aliepo Mamlaka Makubwa ya Raisi na kumpa kinga ya kutoshitakiwa ni matokea ya Katika aliotuachia huyo baba wa taifa katiba tunayo tumia ni ile ile toka enzi za nyerere au wewe hufahamu
Sawa lakini hajatokea mpuuzi aliyekaribisha utumwa ili kufurahisha watu wa nasaba yake! Huyu ni kiazi na mauaji yatatokea tu huyu mzembe akiwa amekodoa mimacho mlegezo! Mama abdul janga la taifa
 
We mpumbavu, nakujulisha tu kuwa nina MBA
EEeeeenHeeeeee!

Unayo "MBA" ya wapi mkuu, 'Huihui2'?

haya makaratasi siku hizi yanatolewa tu kwa yeyote yule anayeyataka.

Hujasikia Msukuma anayo Ph.D., na hata Samia ni Doktori wa Filosofia?

Binafsi nitaiheshimu elimu yako kwa ninayoyaona ukiyaweka humu JF, hata kama sikubaliani nayo.
 
Poma hoja zangu kwenye posts zangu
 
Back
Top Bottom