Dkt. Slaa aomba Watanzania Tuamke, Tusichezewe, aitilia mashaka Tume ya Haki Jinai

Huyu ni ndumilakuwili. Asiaminiwe kabisa
 
Huyu jamaa si alisema wananchi hawataki mambo ya katiba bali wanataka maendeleo? Nini limebadilika
 
Mzee Slaa yupo sahihi.Tujadili alicho ongea sio ‘kuufyata’ wkt wa utawala wa giza wa Magufuli.

Kuna njama za uchaguzi wa 2025 kufanyika na tume hii hii ya CCM na akishinda Mama ndiyo imetoka maana akina Makamba 2030 hawawezi hata anza ijadili Katiba mpya.

CDM mna nafasi sasa ya kudai katiba mpya sababu CCM imegawanyika,haya madubwana yakija kukaa kuwa kitu kimoja hayawezi leta katiba mpya iwaondoe madarakani.
 
Dr Slaa , uko vizuri .
Maza amawaona watanzania mazezeta
Bora umemweleza aelewe mapema kabla ya 2025
 
Huyu si alipinga katiba mpya kama miaka mitatu iliyopita!!!
 
Excellent
 
Swadakta
 
CDM Sidhani kama wanamaanisha wanachosema Kwa sababu wako bize kugawa watu, sasa unajiuliza ina maana hawajui kwamba katiba inawahitaji watu wote? Unagundua kwamba wanajua, sasa je kwanini hawataki Hilo ndiyo kitendawili kilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…