Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

Dkt. Slaa arudishwa kituo cha Polisi Oysterbay kutoka Mbeya. Wakili wake aambiwa akashughulikie dhamana

Kuna kauli yoyote ya Serikali kwamba wanapitia upya Mkataba wa Bandari? Kwa taarifa yako, baada ya Bunge kuupitisha Mkataba wa Bandari, Sasa hivi taratibu zingine zinaendelea kama kawaida. Kumbuka, kelele za chura hazimzuii tembo kunywa Maji!
Tamko la TEC umeliona?

Na kwa taarifa yako Dr Slaa mshamuachia,Ile kesi ya uhaini imeishia wapi?

Taifa lililovurugika😁
 
Tamko la TEC umeliona?

Na kwa taarifa yako Dr Slaa mshamuachia,Ile kesi ya uhaini imeishia wapi?

Taifa lililovurugika😁
TEC kitu weye? Kwani hilo ni Tamko lao la kwanza nchi hii? Lipi lililowahi kufanya kazi nchini?
 
Akili za police ccm shida sana, huwa wanajiona kama majasusi ya FBI au CIA, pale wanapomkamata mtuhumiwa, wakamficha,wakiulizwa wanakupiga Dana Dana, harafu Mara paaap, wanamsafirisha kimya kimya, wanamleta Dar!
 
TEC kitu weye? Kwani hilo ni Tamko lao la kwanza nchi hii? Lipi lililowahi kufanya kazi nchini?
Kama nawaona mnavyotetemeka na limkataba lenu libovu pamoja na kukimbizana kubadilisha Sheria mbalimbali ili likidhi vigezo bado mnahaha
 
Fahamu sheria za nchi kijana
Huyo hajashtakiwa bado.
Ameitwa kuhojiwa.
Siku ukiskia kashikiliwa kwa kosa la uhaini huyo hamtomuona tena.
Subiri kidogo.
kapimwe akili bichwa flat......aliitwa kwenu makunduchi kuhojiwa?
 
Kaachiwa sasa kunya boga kama umechukia taahira mkubwa wewe
Naona unashangilia km mumeo kasamehewa alipofumaniwa.
Huyu mchungaji wenu subirini tu. Manake wengi wenu nyie watoto. Sheria hamjui.
Endelea kupiga vigelegele wakati huyu bi harusi ndo kwanza hata posa hajapelekewa.
 
Maana ya SLAA kwenye

Ndio nakwambia hujui sheria.
Jambo la kwanza lililofanyika ni kumuita na kumhoji
Kisha anapewa dhamana .
Kinachofuata ni upande wa serikali kufungua kesi.
Ushahidi ukionyesha Ana kosa la kujibu la uhaini anaitwa tena police station hapo ndipo anafutiwa dhamana.
Sasa ombeni sana Dua mama Samia amsameh .
Naskia mawakili na wachungaji mapadri na maaskofu wameenda kupiga magoti ikulu .
kwenye uislam uongo sio hata dhambi, dhambi ni kula nguruwe tu
 
Kama nawaona mnavyotetemeka na limkataba lenu libovu pamoja na kukimbizana kubadilisha Sheria mbalimbali ili likidhi vigezo bado mnahaha
Take it from me na achana na TEC, Mkataba wa Bandari na DP World utafungwa! Kelele zenu!
 
Methali 26:4-12
Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.

Nakutakia siku njema nicompoop
sawa bichwa flat......na nikukumbushe tu wazee wa chetezo washatoa tamko huko........KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
 
sawa bichwa flat......na nikukumbushe tu wazee wa chetezo washatoa tamko huko........KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
Teh teh teh
Kanisa moja?
Hapo Tz kuna makanisa mpk ya kihehe. Na yote yanaitwa matakatifu

Sasa sijui lako ni lipi. 🤣
 
Angefingwa kabisa mchozihuyo wangemwekea atabangitoo iliafungwe
 
Teh teh teh
Kanisa moja?
Hapo Tz kuna makanisa mpk ya kihehe. Na yote yanaitwa matakatifu

Sasa sijui lako ni lipi. 🤣
langu ni Roman catholic, ule mwamba yesu aliomwambia petro, upo sheikh?........KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
 
Back
Top Bottom