Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

Hawa ndio wazalendo wa Nchi hii, hawa wengine wanataka tuunge mkono udalali wao wa raslimali za nchi!
Kibaya zaidi wameanza kukamata watu na kuwahoji kwanini wanakataa raslimali za Taifa kuuzwa!
 
Wamepitisha mkataba wanaouita ni Maridhiano, Lakini cha Moto wanakiona.

Angalia hata ongeaji ya mheshimiwa Raisi Jana inaonekana kabisa Hana furaha na huu mkataba lakini Hana jinsi ya kufanya.
Mama anatakiwa kauchana na hawa wahuni wanaomuingiza ktk mkenge!
Kibaya zaidi mhusika mkuu ni yuleyule aliyeliingiza Taifa ktk mikataba michafu mno!
 
Katoliki ndio wameunda Bakwata

Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Hilo mbina linajulikana, siyo siri. Kwani Nyerere siyo mkatoliki? Uzuri ni kuwa bakwata haifiki visiwani kama vile DP World haifiki huko.
 
Anayetawala ni dini moja na FaizaFoxy ndo maana unaona kafufuka Toka mafichoni
Ndio naona, asijeenda kupandikiza chuki tu, ninachoona mm viongoz wa hiyo dini ya faiza fox hawatoweza kuhudhuria mjadala huo wakijua fika kwamba alieandaa huo mjadala ni muumin mkubwa wa kile kitab cha Alif lelaUlela. Hivyo najiuliza anaenda kuwahubiria nani, au kueneza chuki tu kwa wasomi mahiri wa kitabu hicho dhidi ya kiongoz wetu.
Anayetawala ni dini moja na FaizaFoxy ndo maana unaona kafufuka Toka mafichoni
Eee ndio naona, ninachoamini mm viongozi wa hiyo dini ya faiza fox hawat
 
Hilo mbina linajulikana, siyo siri. Kwani Nyerere siyo mkatoliki? Uzuri ni kuwa bakwata haifiki visiwani kama vile DP World haifiki huko.
Labda Kisiwa cha Pemba Lakini Unguja yupo Baba askofu Massawe ndio unaona ni Kisiwa cha kupumzikia Waitaliano

Ilipo Katoliki na mwanae bakuata yupo😃

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 

Dr Slaa Mzalendo kwanini tusimpe Urais?
 
....Angalia hata ongeaji ya mheshimiwa Raisi Jana inaonekana kabisa Hana furaha na huu mkataba lakini Hana jinsi ya kufanya.
asideme hatukumshauri juu ya wanaomzunguka na mitego ya kisiasa.

Sasa wanamuacha ahangaike peke yake.

Napebdabujasiri wake maana bado ataendelea kuwaamini walimuingiza chaka
 
Huyo cha pombe atupishe, ana maadili gani ya kuongea na viongozi wa dini?


Hana haya?
Si usiku si mchana upo active unaupambania mkataba wa dhuluma wa dp world wewe ni nani ? Unanufaika vipi na utetezi wa mkataba huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…