Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

Tutahudhuria maana kwa hakika hatuna urithi mwingine Mungu aliotupa zaid ya hivi tulivyo navyo ikiwepo bandari.
Mdhamini wetu mkoloni alitushikilia huu urithi hadi alipoona kuwa tumepevuka kiakili akaturudishia japo alitamani aendelee kuwa navyo.
Sasa tunatambua kuwa mdhamini hana nguvu tena mwana wa urithi anapo- mature unless otherwise mwana awe zezeta.
 
Hilo mbina linajulikana, siyo siri. Kwani Nyerere siyo mkatoliki? Uzuri ni kuwa bakwata haifiki visiwani kama vile DP World haifiki huko.

Dada mbona siku hizi unakosea Sana kuandika Kiswahili fasaha?

Hilo neno "Mbina" ulikuwa ukimaanisha "Mbona"? Ufafanuzi tafadhari nisije nikawa nakosoa kumbe Mimi ndiyo sikijui Kiswahili fasaha.
 
Nani alewe na huyo cha pombe, muulize anaelewa nae.
Mama utakuwepo mbeya leo?
Kuna shughuli kubwa ya kuelimisha wananchi kuhusu bandari. Watu wamebebwa na magari kutoka iringa, sumbawanga, njombe, kyela, chunya, songwe n.k magari zaidi ya 1000 yanasomba watu sijui gharama analipia nani
 
Kule madrasa alifunzwa ujinga?
🤣🤣🤣🤣🤣, Mkuu ngoja nisubili jibu la dada FaizaFoxy Mimi huwa namsoma siku nyingi humu na ukosoaji wake na kauli yake ya "Huko shule mlienda kusomea ujinga"?

Siku hizi naona anakosea Sana imebidi nimuulize kulikoni?
 
🤣🤣🤣🤣🤣, Mkuu ngoja nisubili jibu la dada FaizaFoxy Mimi huwa namsoma siku nyingi humu na ukosoaji wake na kauli yake ya "Huko shule mlienda kusomea ujinga"?

Siku hizi naona anakosea Sana imebidi nimuulize kulikoni?
Jana aliandika jambo moja walikuwa wanajibizana na mtu mmoja wa chake chake sijui wanajuana .... nilikaa kimya tuu nikajua labda ni kingazija wapemba wanajuana kwa vilemba
 

Angepingaje wakati alipewa madaraka ya ubalozi na JPM?
 
Hawa wanaojifanya wanalinda Mali za nchi wasijitoe ufahamu kwamba kila mtanzania ana haki sawa za umiliki huo hivyo wasijifanye wanahisa nyingi zaidi ya wengine.
Kwasasa hoja imetolewa pande mbili zinapingana ni lazima hoja zote mbili zipimwe na itakayokuwa na uzito itapita hata kama kuna upande utakomaa na inachokiamini.
 
Mh! Serikali ya JMT inayoongozwa na SSH majaribuni! Je, yatatokea ya kutokea kama ilivyo sasa kwa jirani zetu Kenya?
 
Kipindi cha nyuma hakukuwepo ujinga kama huu wa kugawa bure mali za tanganyika kama peremende,kila Mtanganyika aliwajibika kulinda mali za tanganyika,wasaliti pamaja na mafisadi na wezi walikiona cha moto.
 
Huyo cha pombe atupishe, ana maadili gani ya kuongea na viongozi wa dini?


Hana haya?
Kwani pombe inatengenezwa kwaajili ya nani? Inawezekana hunywi pombe lakini unazini....! Inawezekana hunywi pombe lakini unakunywa sana juice ya Miwa . Kila mtu na ulevi wake.
Hatuendi kusikiliza ulevi wake tunaenda kusikiliza point zake kuhusu kulinda na kutetea bandari zetu.
Mengine kila mtu atajuana na Mungu wake.
 
Haendi kuhubiri bali kuongelea bandari zetu
Bandari usiokuwa na uchungu nayo ni yenu KIVIPI! Akikabidhiwa Mwarabu miaka 100 (Karne 1) hata mjukuu wako atazeeka MKABA ovyo Kama huu itakuwa bado hujaisha.

SAMIA anawarejesha Waarabu, Na kuigeuza TANGANYIKA YETU kuwa koloni la Waarabu tena.
 
Kipindi cha nyuma hakukukua na uuzwaji wa mali za Taifa kama sasa muwe mnakuwa waelewa😕
 
Usiishi kwa hisia, nenda kwa facts. Dr. Slaa hajawahi kuwa mkimya wakati wowote kulipokuwa na jambo aliamini halipo sawa. Aliikosoa sana CCM akiwa katibu mkuu CHADEMA. Aliikosoa CHADEMA kwa kumpokea Lowasa, na akaamua kujiuzulu kwenye nafasi yake kama katibu mkuu. Hakuikosoa serikali hadharani alipokuwa balozi kwa sababu kanuni haziruhusu. Ndiyo maana hutaweza kumsikia kiongozi yeyote wa serikali akiikosoa Serikali hadharani.
 
Hiki ndicho kiwango chako cha kufikiri?
 
Huyo cha pombe atupishe, ana maadili gani ya kuongea na viongozi wa dini?


Hana haya?
Wewe bila shaka ni punguani. Hiyo pombe huwa mnakunywa pamoja? Au ni wewe huwa unamhudumia?

Inaonekana unaipenda sana pombe, maana haipiti siku ukakosa kuitaja. Yawezekana unaipenda pombe kama wale waarabu wa Saud Arabia ambao huwa wanskubali kuingia mpaka gharama za kununua mitambo ya kutengenezea pombe majumbani.

Mice, poisonous bugs found in Saudi alcohol factory raid

The police confiscated 3,750 liters of alcoholic drinks

Al Arabiya News

Published: 22 July ,2014: 12:00 AM GSTUpdated: 20 May ,2020: 10:43 AM GST

Saudi religious police raided eight alcohol-producing factories in the southwest region of Aasir, Al-Madina reported on Tuesday.

The police confiscated 3,750 liters of alcoholic drinks that contained mice and were contaminated with poisonous bugs, the report said.

Awad al-Asmari, a religious police spokesperson, said all eight factories and their products were destroyed on Sunday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…