fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Swali zuri sana hili. China wameigeuza Tanzania kama Dumping place kwa bidhaa zao mbovu.Hivi Mchina nae ni mshirika wa kujivunia. Mikopo yake migumu sana kulipika, anapata tender za miradi mikubwa lakini wafanyakazi wote wachina hadi store keeper.
Lakini bado tunachokiona mtaani ni funded by EU, UKAID, USAID etc.
Au kwa sababu Mchina anatuletea vitu vibovu kwa bei nafuu. Au niulize tu swali Tanzania tunanufaika na nini kutoka China?