Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Wachina unaowafikiria kuwa unaweza kufanya nao biashara, waliwekewa mbinyo kidogo tu na Marekani kwenye biashara, ukuaji wao uludondoka ghafla mpaka 2%, na hautegemewi kupanda tena kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

Ukiwejewa vikwazo na hayo mataifa makubwa, kila mmoja anaogopa kuwa karibu nawe. Unakuwa haramu, na haramu haiguswi.
Okay okay
 
Hivi unategemea Wachina waje kufanya utalii Tanzania?
Ukiwaona wachina Bongo ujue wamepewa tenda ya kujenga miundombinu.
In short wachina wananufaika zaidi na sisi kuliko sisi tunavyonufaika na wao.
Okay okay
 
Kasome "geopolitics" ndo utagundua mziki wa haya maamuzi kwa nchi yetu.Mwambie Jiwe aache kwa sasa kununua yale madege makubwa makubwa ! Na mbaya zaidi tunaweza tukazikosa na hizo ndege hata kama tuna mshiko !
Okay okay
 
Mkuu maparachichi unayoona yanalimwa kwa wingi kule Njombe,green beans unayoona zikilimwa kule iringa na Arusha,ile miti ya mitiki unayoiona kule kilombero,ile kahawa unayoiona Arusha ,kilimanjaro,kigoma,kagera etc,soko lake kubwa ni ulaya
Okay okay.

Shukran kwa elimu mkuu
 
Ndio tunaweza na tumekuwa tukifanya na dunia nzima. Bidhaa ni kama tumbaku, katani, chai, madini n.k
Kwa mbinyo huu huoni number ya wateja wa bidhaa zetu watakuwa wamepungua?
Ni kweli watakuwa wamepungua.
 
Umama huo...sasa unadhan wanamkomoa mume Magu au Tz nzima??
Unadhani wazungu wajinga,wanataka kutengeneza chuki kati ya magu na wananchi,tukiishamchukia magu ndio akili zitakaa sawa bila hivyo magu atatawala milele
 
NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka kuongoza hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Nafikiri alaaniwe asiyependa haki mpaka kutuingiza kwenye shimo hili
 
NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka kuongoza hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Afadhali maisha magumu yatuchape wote kuliko ambavyo saizi ilivyo
 
Back
Top Bottom