Na Wana ushirikiano kama siafu.Wachina unaowafikiria kuwa unaweza kufanya nao biashara, waliwekewa mbinyo kidogo tu na Marekani kwenye biashara, ukuaji wao uludondoka ghafla mpaka 2%, na hautegemewi kupanda tena kwa kipindi kisichopungua miaka 10.
Ukiwejewa vikwazo na hayo mataifa makubwa, kila mmoja anaogopa kuwa karibu nawe. Unakuwa haramu, na haramu haiguswi.