Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Kwahiyo watanzania ni wataalam wa kutalii nchi nyingine ivyo haitasumbua kwan tutatalii wenyewe??, ivi majitu mengine huwa yanaandika yakiwa yamekatwa vichwa au nn??
Kichwa panzi wee
Kwa hiyo unayadhobiti mawazo yangu Kwa kuhalalisha Ujinga wako siyo?

Habari yenyewe si ya kweli, Ulitegemea niandike nini Wewe?
 
Tukishaumia kwa vikwazo tutawalazimisha wasiibe Tena kura,mbona rahisi Sana.sisi w
Una hakika hawataiba ? Zimbabwe kuna vikwazo, viongozi hawaibi ? Anaeteseka zimbabwe ni Rais, waziri ? Kama hujui maana ya vikwazo. Nenda Zimbabwe na Iran au sudani.....usishabikie vitu ambavyo huvijui unajidhalilisha ni bora ukae kimya.
 
Wajawazito!pesa pesa,hakuna kufyatua tena. ARVs,anti-tb,chanjo kwa wajawazito,<5yrs,>60yrs.... Tutalipia,hamna namna
 
Zimbabwe mkate uliuzwa 100000
Nimegundua hujui maana ya kuwekewa vikwazo, kwa kukusaidia, bei ya petrol/diesel itapanda na itapelekea vitu kama mfano:-sukari ikipanda hadi 10,000 tsh, cement 50,000, unga 5000/kg, watakao umia ni sisi wa chini au ni viongozi waliopo madarakani, napima IQ yako ili nijue unachoshabikia vikwazo unaelewa athari zake ama la. MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI SHABIKIA VIKWAZO
 
Tutegemee hali kuwa mbaya zaidi kwa miakahii mitano kaa sababu hatutapata support yeyote kutoka ulaya.
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China? Au nako pia haitowezekana?

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya?
Unawajua vizuri UKaids na USaids?

Pigo mojawapo na la kibabe litakolrudisha nyuma maendeleo katika nchi yoyote ile ni Magonjwa.
Tuandae nyungo na mitishamba tu cd4 zikianza kuporomoka tutakimbiana.!
 
NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka kuongoza hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Nadhani ni vyema kujifunza kutokana na makosa. Kosa la kususa bunge lilitumika kunogesha kampeni mwaka huu. Hili la kuita vikwazo laweza kutumika kampeni za 2025. Wanaweza kuwaambia wapiga kura kuwa chama fulani kilitaka tufe kwa njaa, n. k.
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Ndio tunaweza na tumekuwa tukifanya na dunia nzima. Bidhaa ni kama tumbaku, katani, chai, madini n.k
Kwa mbinyo huu huoni number ya wateja wa bidhaa zetu watakuwa wamepungua?
 
Nimegundua hujui maana ya kuwekewa vikwazo, kwa kukusaidia, bei ya petrol/diesel itapanda na itapelekea vitu kama mfano:-sukari ikipanda hadi 10,000 tsh, cement 50,000, unga 5000/kg, watakao umia ni sisi wa chini au ni viongozi waliopo madarakani, napima IQ yako ili nijue unachoshabikia vikwazo unaelewa athari zake ama la. MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI SHABIKIA VIKWAZO
Tutaumia sote hivi hao CCM wanaokaa maskani nao hawatoumia ? Hivi viongozi si wanalindwa na majeshi na polisi? Sasa niambie kama rumba likiwa kali kwa sote hawa polisi nnkwania majeshi kwani wanatoka mbinguni. ?Wewe ni kijana mdogo sisi tulioishi wakati wa Karume Mkubwa tunaijua hiyo hali. Hao majeshi mwiisho hawakuweza kustahamili wakaamua kumwondosha.
 
Nadhani ni vyema kujifunza kutokana na makosa. Kosa la kususa bunge lilitumika kunogesha kampeni mwaka huu. Hili la kuita vikwazo laweza kutumika kampeni za 2025. Wanaweza kuwaambia wapiga kura kuwa chama fulani kilitaka tufe kwa njaa, n. k.
Kwani lini kulikuwa na uchaguzi tz? Huo si uchaguzi ni uchafuzi
 
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Ona huyu!
 
Back
Top Bottom