Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Hivi Mchina nae ni mshirika wa kujivunia. Mikopo yake migumu sana kulipika, anapata tender za miradi mikubwa lakini wafanyakazi wote wachina hadi store keeper.
Lakini bado tunachokiona mtaani ni funded by EU, UKAID, USAID etc.
Au kwa sababu Mchina anatuletea vitu vibovu kwa bei nafuu. Au niulize tu swali Tanzania tunanufaika na nini kutoka China?
 
Labda sembe kantri
HATUHITAJI MISAADA YA MABEBERU.TANZANIA HAIJAWAHI KUSHINDWA JAMBO LOLOTE.TUTALINDA HESHIMA YETU.HATUHITAJI VIMSAADA VYAO.HII NCHI NI TAJIRI.SISI NI DONA KANTRI,TUNAFANYA MIRADI MIKUBWA KWA HELA ZA NDANI.
 
Kuhusu city vibovu ni sisi wenyewe mchina ameshika solo la Ulaya Hadi Malekani
Hivi Mchina nae ni mshirika wa kujivunia. Mikopo yake migumu sana kulipika, anapata tender za miradi mikubwa lakini wafanyakazi wote wachina hadi store keeper.
Lakini bado tunachokiona mtaani ni funded by EU, UKAID, USAID etc.
Au kwa sababu Mchina anatuletea vitu vibovu kwa bei nafuu. Au niulize tu swali Tanzania tunanufaika na nini kutoka China?
 
Nimegundua hujui maana ya kuwekewa vikwazo, kwa kukusaidia, bei ya petrol/diesel itapanda na itapelekea vitu kama mfano:-sukari ikipanda hadi 10,000 tsh, cement 50,000, unga 5000/kg, watakao umia ni sisi wa chini au ni viongozi waliopo madarakani, napima IQ yako ili nijue unachoshabikia vikwazo unaelewa athari zake ama la. MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI SHABIKIA VIKWAZO
Watu wanashabikia vikwazo si kwa kupenda au kuona watanufaika navyo, la, watu wamekataa tamaa, watu wamechoka na uduni wa maisha ulioletwa utawala wa chama kisichotaka mawazo mbadala, na kutumia raslimali za nchi kuhakikisha kinaendelea kutawala. Maji hayajachemka. Boiling point ni pale mbinyo wa maisha mtu atakapo tamani mauti badala ya maisha. Jamii kubwa itakayo shinda bila mlo, bila tiba huku mfukoni hata jero hawana huku V8 za wakubwa zikiwatimulia vumbi, na tv ya taifa ikiinadi serikali ya wanyonge.
 
Athari ni kubwa sana. Uchumi wa nchi utadorora sana. Tujitafakari juu ya kukwezwa kuwa nchi ya uchumi wa kati.

Huenda tukashushwa kurudi kwenye nchi maskini duniani. Yaliyotokea Zimbabwe sasa yananukia Tanzania.
Hawana uwezo wa kutushusha, upumbafu wa EU wanafanya judgement ya kidikteta kidikteta
 
Hawana uwezo wa kutushusha, upumbafu wa EU wanafanya judgement ya kidikteta kidikteta

Kama ulivyo upumbavu wa CCM wa kuuwa watu na kuwatia vilema kidikteta kidikteta au vipi ??
 
Watu wa ajabu sana, eti wanashabikia tuwekewe vikwazo,

Kwani mlisahau mlivyoshabikia kuuliwa watu na kutiwa vilema wakati mumelikodisha jeshi la Burundi kufanya unyama ??
 
Kuhusu city vibovu ni sisi wenyewe mchina ameshika solo la Ulaya Hadi Malekani
Hivyo vitu anavyouza mchina huko ulaya na Marekani huwa vinatengenezwa na wenyewe wazungu. Viwanda vyao wamevipeleka China ili wapate cheap labour na kukimbia kodi.

Vitu anavyotengeneza mchina ndio hivi tunavyoletewa sisi huku tukaringa haviko kwenye standard
 
Ni kweli watakuwa wamepungua.
Nashukuru kwa kuliona hilo Sasa huoni athari yake hapo? Inamaana kiasi Cha bidhaa rulizokuwa tukisafirisha kwenda nje na kuangiza nchini litakuwa kimepungia. Kiuchumi Kuna athari kubwa tu katika maendeleo ya nchi
 
Back
Top Bottom