Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Swali zuri sana hili. China wameigeuza Tanzania kama Dumping place kwa bidhaa zao mbovu.
 
Mjinga na mshamba kamsambaratisha Shoga wa Ubeleji hana kahama nchi! Ahahahahahaha! Msalimie na Amsterdam. Mwambie huku tuna Jiwe!!!!!
Sasa nchi yenu imepigwa pini, hakika mtamjua kwanini alijiita Jiwe
 
Wenzako wamewaita Wabunge hawa wahuni wachache hivi... kazi mnayo Lumumba.

Sasa kama MABEBERU hawataki urafiki na nyie, afu nyie mnaanza kulalamika wakati mnatakiwa mshangilie - mnatuchanganya sana nyie maCCM.
 
Mwambie jiwe maneno hayo maana ndio kasababisha
Hapana
Aliyesababisha ni wewe na wenzako wachache ambao mmetaka sana kuizingua nchi ili ujambazi wenu uendelee
 
Sasa nchi yenu imepigwa pini, hakika mtamjua kwanini alijiita Jiwe
Pini ipi mkuu, hakuna Pini Wala sindano

Chukua video yote uiskilize, halafu usiangalie ni ya mwaka gani? Na lilikuwa ni kusudi lipi alilokuwa akijaribu kulipngelea Dr
 
Hapana
Aliyesababisha ni wewe na wenzako wachache ambao mmetaka sana kuizingua nchi ili ujambazi wenu uendelee
Sisi ndio tumeiba trilion moja na kujenga airport chato,sisi tunateka watu,sisi tumeiba kura,sisi tumefungia vyombo vya habari na kutesa wapinzani,
 
Sisi ndio tumeiba trilion moja na kujenga airport chato,sisi tunateka watu,sisi tumeiba kura,sisi tumefungia vyombo vya habari na kutesa wapinzani,
Wewe na nani mliiba hizo trilion?
Chato ambayo ipo Tanzania imejengwa kwa pesa iliyotoka Hazina kwa utaratibu wa procurement ya Serikali. Huo upuuzi mnaolishana mitandaoni hauna tofauti na uraibu wa mihadarati.
 
Huna la maana kuwa huko,rudi nyumbani. Waambie wenzio walichofanya sicho.Wanatufanya tuvune tusichopanda wote.
 
Wewe na nani mliiba hizo trilion?
Chato ambayo ipo Tanzania imejengwa kwa pesa iliyotoka Hazina kwa utaratibu wa procurement ya Serikali. Huo upuuzi mnaolishana mitandaoni hauna tofauti na uraibu wa mihadarati.
Bunge lipi lilipitisha,kuhusu trilioni muulize cag aliyefukuzwa kwa kusema ukweli usiniulize mimi
 
Tulipewa nafasi ya kusikilizwa tukaitumia vibaya kwa kujinasibu na kujigamba kwamba sisi nchi kubwa tunaweza kujitegemea
 
Tulipewa nafasi ya kusikilizwa tukaitumia vibaya kwa kujinasibu na kujigamba kwamba sisi nchi kubwa tunaweza kujitegemea
Dona kantri inatishwa na kutofanya biashara na jumuiya ya ulaya ? Dona kantri si mko uchumi wa kati shida nini? Endeleeni tu . Dokta Slaa aache kulialia .
 
Bunge la Ulaya limeihukumu Tanzania lini?

Mbona Balozi wa Tanzania Ubelgiji alisema yale ni maneno ya wabunge tu na si msimamo wa Bunge hilo?

Mabalozi wawili wa Tanzania wanapishana maneno, mmoja anasema Bunge limetuhukumu, mwingine anasema halijatuhukumu yale ni maneno ya wabunge tu?

Hawa mabalozi wana coordination? Au kila mtu anaongea vyake tu?
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China? Au nako pia haitowezekana?

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya?
Hao China wenyewe wakisikia wazungu wanaweka vikwazo huwa wanakuwa wadogo,issue ya vikwazo siyo ya kipolepole tujitafakar tunakosea wapi kama Taifa,sasahv tunawekwa kundi moja na kina Somalia,Zimbabwe na Uganda why!!?
 
sasa unashabakia nini mbwa wewe, tanzania kuwekewa vikwazo ndiyo unapongeza ?

Akili zetu watanzania zinahitaji mageuzi makubwa sana ya kifikra
Kenge mweusi wewe si mnasema nchi yenu tajiri pumbaffu wewe
 
Mnachukua hela/Mkopo wa COVID 19 kumbe mna ZERO CASE.saaa which is which?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…