Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Ukivimbiwa huwezi kumjui mwenye njaa, mnaacha kumlaumu jiwe mnawalaumu wazungu
 
Hii nchi ina utajiri kweli kweli watanzania tembeeni kifua mbele
 
Sasa hiyo video ya mwaka 2019 inahusikaje na kinachoendelea Sasa hivi?
 
Mkuu, hiyo clip ni ya lini?
 
Tumehukumiwa kwa kuwa hatuna DEMOKRASIA ya masikilizano...kunya anye mwingine wewe ukinya umejamba Ahaaaa!
 
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
We hujui ilisemalo Asia wenyewe wanategemea bara ulaya
 
Kwani bunge la ulaya wewe mwanachama
Haa haa haa. Basically, Bunge la Ulaya ni Bunge la Mabeberu. Sasa sijaelewa tunatafuta nini humo Bungeni Kwa Mabeberu?? Si inatupasa tufurai uchumi wetu kutochangiwa na mabeberu?? Milio ya nini tena??
 
Pumba tupu.
Mmeshindwa nini kujipikia miaka yote hiyo?
Kafanyeni biashara na hao wachina wanaofadhili mchama wenu kwani lazima ulaya?
 
Sasa hiyo video ya mwaka 2019 inahusikaje na kinachoendelea Sasa hivi?
Mkuu! Siku hizi hapa JF ni kama sehemu ya udaku, uwongo mwiiingi hasa jamii ya waliochoka choka maisha, wanaotamani Dunia Ifike mwisho, Kwa sababu tu ya uzembe wao wa kujiingizia kipato, kazi Yao ni kulialia eti ajira, ajira na uskute hata Hilo jamaa linalolialia ajira, lilikimbia shule,
.mtu mwenye akili timamu,msomi nzuri aliyefundishwa na akaziona fursa haliilii kama demu bhana

Sasa hawa wenzetu, kila leo kelele, kama hili sjui tumefungia, ni umbea tu wa mtu aliyechoka maisha
 
Pumba tupu.
Mmeshindwa nini kujipikia miaka yote hiyo?
Kafanyeni biashara na hao wachina wanaofadhili mchama wenu kwani lazima ulaya?
Mkuu, habari zenyewe za umbea na uwongouwongo, uwage unasoma kuitia jicho la mwewe!

Ukiona hivyo, ujue wenye akili kubwa tushaipuuza hiyo habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…