Inawezekana kuna mchezo unachezwa hapa kwani hii press ya kina Mdee imetoka leo huku clip ya Dr.Slaa ikionekana kuwa posted mtandaoni masas 14 yaliyopita.
Ingia Mndende Media au Jamvin online tv, utaona kuwa hiyo clip ya Dr.Slaa akilalamika hatua zilizochukuliwa na EU dhidi ya Tanzania, ni clip ilivyokuwa posted tarehe 30/11/2020 na inaonyesha kabisa imetukwa posted masaa 14 yaliyopita.
Swali ni je, media za kitanzania hawajaipata hii habari?
Je,huu mkutano wa kina Mdee na waandishi wa habari hauna lengo la kufifisha mjadala kuhusu maamuzi ya EU?
Tusubiri media za kimataifa hasa BBC na DW kujua ukweli wa ni lini maamuzi haya ya EU yametolewa.