Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, haya siyo ya kweli ni video ya miaka hiyooo ndio tunaletewa leoNI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka madalaka hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Kumbe ni propaganda za watu wanaopokea ruzuku milion 300 kwa mwezi wameshindwa kujenga hata ofisi ya vyumba 4Mkuu, haya siyo ya kweli ni video ya miaka hiyooo ndio tunaletewa leo
Chadema hawataona tofauti yoyote mana wamekuwa wakiumia na kuteswa Sana na Vyombo vya Dola ndani ya nchi yao wenyewe tena kwa miaka mingi. So wameshakuwa sugu kwa kuwa exposed frequently kwenye majanga.NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka madalaka hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Kusikia kwa ngeke sharti damu imtoke makisioniSawa mkuu ila tajiri bila ya ushirikiano ni tatizo
Bahari nzuri mamla wanajua njia sahihi za kurudisha mahusiano kimataifaHabari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dr. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa bunge la ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, Lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.
View attachment 1638895
Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
ATHARI ZA KISIASA NA UCHUMI MBONA MFUMO ULIZAFAHAMU MAPEMA KABLA YA KUFANYA UCHAFUZI HAWA MABALOZI WANATUMIKA TU KAMA WANAVYOTUMIKA AKINA MAHERA NA YULE JAMAA MWENYE FILE MIREMBEHabari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dr. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, Lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.
View attachment 1638895
Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Ujiulize pia kama 40% ya bajeti inatoka Asia au Ulaya!Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??
Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Ila hilo jina lako kwa kilugha chetu in KWe ni kipofu?? Hujaiona tu au unataka video ya peke yako??
Wewe ni mtanzania ? Athari za vikwazo vya kiuchumi atakae umia ni wewe na mimi, endelea kushabikia ujingaSafi sana
Kilugha chenu gani?Ila hilo jina lako kwa kilugha chetu in K
Watakuja watalii kutoka Burundi au vipi mkuu?Hasira zao zinawapelekea kuzira kama demu siyo?
Kwamba wanazuia watalii kuja na kutofanya biashara kuja kwetu, Kwani Dunia ina nchi ngapi na ulaya ina nchi ngapi?
Raisi wa ulaya na spika wao ni washamba Sana aisee!!
Hiyo ni adhabu Sawa na mke azire kumpikia Mume na badala yake mume awe anajipikia Wakati naye ni mtaalamu wa kupika
Tutajipikia
Kama zile risasi na majeshi ya kukodi kutoka Burundi vyote vimetuumiza sisiWewe ni mtanzania ? Athari za vikwazo vya kiuchumi atakae umia ni wewe na mimi, endelea kushabikia ujinga
Labda ni mbuzi jikeKwa hiyo wachina sio mabeberu?
Nyinyi mnakijenga chama chenu kwa kuweka askari na vifaru barabarani na kukodisha .majeshi kutoka Burundi au vipi mkuuNinyi ndio mnakiangamiza chama chenyevbila kujijua. Mnang'ang'ania vitu ambavyo havipo badala ya kujenga vyama vyenu. Ikifika uchaguzi, mnakuwa hamjajipanga. Mkishindwa mnadai mmeibiwa kura. Wajinga kabisa ninyi!!!
Ni sawa ila Kamwe usifurahie vikwazo vya kiuchumi, wanaoteseka ni watu wa hali ya chini. Hii hali unayoiona sasa iongezeke mara 10, hebu niambieKama zile risasi na majeshi ya kukodi kutoka Burundi vyote vimetuumiza sisi
Ni kweliwewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Ni sawa ila Kamwe usifurahie vikwazo vya kiuchumi, wanaoteseka ni watu wa hali ya chini. Hii hali unayoiona sasa iongezeke mara 10, hebu niambie
Dr Slaa alikuwa wa zamani, si huyu wa kusifu na kuabudu. Hivi alitaka tukaieleze nini bunge la Ulaya ?!. Kwamba hatuna u dictator ? Au kwamba wapinzani hawanyanyaswi ?!.Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.
View attachment 1638895
Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Kwani ivi wale waangalizi wao what uchaguzi walikubaliwa kuja au walikataliwa???Safi sana