Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka kuongoza hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
 
NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka madalaka hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Mkuu, haya siyo ya kweli ni video ya miaka hiyooo ndio tunaletewa leo
 
NI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka madalaka hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Chadema hawataona tofauti yoyote mana wamekuwa wakiumia na kuteswa Sana na Vyombo vya Dola ndani ya nchi yao wenyewe tena kwa miaka mingi. So wameshakuwa sugu kwa kuwa exposed frequently kwenye majanga.

Katika kibano hiki, wale waliokuwa wanakula mema ya nchi wkt wengine wakiteseka ndio labda watapata shida, sio Chadema.
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dr. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa bunge la ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, Lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

View attachment 1638895

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Bahari nzuri mamla wanajua njia sahihi za kurudisha mahusiano kimataifa
1.
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dr. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, Lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

View attachment 1638895

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
ATHARI ZA KISIASA NA UCHUMI MBONA MFUMO ULIZAFAHAMU MAPEMA KABLA YA KUFANYA UCHAFUZI HAWA MABALOZI WANATUMIKA TU KAMA WANAVYOTUMIKA AKINA MAHERA NA YULE JAMAA MWENYE FILE MIREMBE
 
Hasira zao zinawapelekea kuzira kama demu siyo?

Kwamba wanazuia watalii kuja na kutofanya biashara kuja kwetu, Kwani Dunia ina nchi ngapi na ulaya ina nchi ngapi?

Raisi wa ulaya na spika wao ni washamba Sana aisee!!

Hiyo ni adhabu Sawa na mke azire kumpikia Mume na badala yake mume awe anajipikia Wakati naye ni mtaalamu wa kupika
Tutajipikia
Watakuja watalii kutoka Burundi au vipi mkuu?
 
Wewe ni mtanzania ? Athari za vikwazo vya kiuchumi atakae umia ni wewe na mimi, endelea kushabikia ujinga
Kama zile risasi na majeshi ya kukodi kutoka Burundi vyote vimetuumiza sisi
 
Ninyi ndio mnakiangamiza chama chenyevbila kujijua. Mnang'ang'ania vitu ambavyo havipo badala ya kujenga vyama vyenu. Ikifika uchaguzi, mnakuwa hamjajipanga. Mkishindwa mnadai mmeibiwa kura. Wajinga kabisa ninyi!!!
Nyinyi mnakijenga chama chenu kwa kuweka askari na vifaru barabarani na kukodisha .majeshi kutoka Burundi au vipi mkuu
 
Kama zile risasi na majeshi ya kukodi kutoka Burundi vyote vimetuumiza sisi
Ni sawa ila Kamwe usifurahie vikwazo vya kiuchumi, wanaoteseka ni watu wa hali ya chini. Hii hali unayoiona sasa iongezeke mara 10, hebu niambie
 
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Ni kweli
Ni sawa ila Kamwe usifurahie vikwazo vya kiuchumi, wanaoteseka ni watu wa hali ya chini. Hii hali unayoiona sasa iongezeke mara 10, hebu niambie

watu kuuliwa na kutiwa kilema si kitu kuliko hivyo vikwazo ??
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

View attachment 1638895

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Dr Slaa alikuwa wa zamani, si huyu wa kusifu na kuabudu. Hivi alitaka tukaieleze nini bunge la Ulaya ?!. Kwamba hatuna u dictator ? Au kwamba wapinzani hawanyanyaswi ?!.

Nami nimemsikiliza hana lolote huyu. Alishafika bei
 
Safi sana
Kwani ivi wale waangalizi wao what uchaguzi walikubaliwa kuja au walikataliwa???
Yule balozi wa jumuia ya ulaya alifukuzwa alirudi?
Tutafakari hayo halafu tutakuwa na la kisema kuhusu kuhukumiwa bila kujitetea
Je huyo balozi alioewa muda was kujitetea au alioewa masaa 24?
 
Back
Top Bottom