Pre GE2025 Dkt. Slaa: CHADEMA imeshindwa Kuwashawishi Watanzania Wakiamini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Peter Slaa, amekosoa vikali viongozi wa sasa wa chama hicho...
Huyu Mzee toka ashikiwe akili na lile pashkuna Josephine Mushumbushi nilimtoa thamani,wakati ule angewakatalia kabisa Chadema kutompokea Lowasa na kuondoka ningemkubali lakini walikubalia wote kumpokea Lowasa lakini baada ya TISS kumtumia yule pashkuna kumbadilisha mawazo naye akakubali nilimuona hana msimamo. Na laana ilimuandama baada ya lile pashkuna kuja kumpiga kibuti baada ya hela waliyopewa na Magufuli kukata.
 
Huyu ni bwana maslahi! toka mama aanze kushughulikia pro magufulis alikengeuka!! Sasa kawaona wanarudishwa anatafuta kuonekana!! kaishaharibu mno!! tupa kule et sauti ya watz!! hifadhini hiyo taka taka! alijiunga CCM toka kipindi cha jiwe
Na amepata tumaini kuwa Samia anaweza kumpa shavu baada ya Rais kufanya rejea ya kitabu chake kuihuisisha Chadema na utekaji,ndiyo anatumia njia hii kujisogeza kwa Samia.
 
wakati ule angewakatalia kabisa Chadema kutompokea Lowasa na kuondoka ningemkubali lakini walikubalia wote kumpokea Lowasa lakini baada ya TISS kumtumia yule pashkuna kumbadilisha mawazo naye akakubali nilimuona hana msimamo.
Wewe acha uhuni na upotoshaji. Dr Slaa aliongoza kundi letu la kupinga kupokelewa kwa Lowassa kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Tundu Lissu na Mnyika walikuwa kundi letu, Lissu akakatiwa cha juu akatusaliti na kukubali. Sisi wenye misimamo isiyoyumba tukaamua kujiweka kando. Acha kudanganya watu. Ukweli kuhusu Dr Slaa tunaujua A to Z.
 
Wacha uwongo mzee alikuja kubadilishwa mawazo na Jose hadi kutupiwa mabegi nje na kulala kibarazani hadi asubuhi.
 
Wacha uwongo mzee alikuja ku adilishwa mawazo na Jose hadi kutupiwa mabegi nje na kulala kibarazani hadi asubuhi.
Msimo wetu ulikuwa ni kama lowassa anakuja, basi aje kama mtu mwingine tu. Apokelewe kama mwanachama wa kawaida, lakini asipewe nafasi ya kugombea urais. Naona ulikuwa bado mdogo wakati huo hukumbuki mambo vizuri.
 
Chadema inaaminiwa na wachache tu, walivyoanza kumnanga JPM tu ndio watu waliacha kuwaelewa
 
Msimo wetu ulikuwa ni kama lowassa anakuja, basi aje kama mtu mwingine tu. Apokelewe kama mwanachama wa kawaida, lakini asipewe nafasi ya kugombea urais. Naona ulikuwa bado mdogo wakati huo hukumbuki mambo vizuri.
Haya kaandike kitabu sasa maana naona unataka ligi
 
Kwani choice wewe ndio kipaza chake au chanzo nini tagadhali?
 
Lissu amenukuliwa katika clip moja akisema kuwa, alifuata na Abduli(mtoto wa Bi. Mkubwa) kwa lengo la kuhongwa ili aache kupiga kelele kwa maana ya kumkosoa Mama kwa matendo yake. Hata hivyo, kwa maelezo yake, Lissu alikataa hiyo ofa.

Lissu aliweka wazi kuwa yeye alikuwa ni mmoja tu wa watu waliotafutwa na Aduli kwa lengo la kuhongwa ili aache kusemasema.

Kwa msingi huo, kwakuwa Dr. Slaa nae alianza kumkosoa Bi. Mkubwa kwenye swala la mkataba wa DP World na sasa anaonekana kutulia na zaidi amegeuka kuishambulia CHADEMA kama Msigwa; je,haiwezekani Dr. Slaa nae alifikiwa na Abduli na kupewa chochote ndio maana leo hii anaishambulia CHADEMA?

Najiuliza tu.
 
Lissu amenukuliwa katika clip moja akisema kuwa, alifuata na Abduli(mtoto wa Bi. Mkubwa) kwa lengo la kuhongwa ili aachje kupiga kelele kwa maana ya kumkosoa Mama kwa matendo yak...
Hili mbona liko wazi kabisa, halafu dogo anamwaga dolari tupu, Dr. ame compromise.
 
Lissu amenukuliwa katika clip moja akisema kuwa, alifuata na Abduli(mtoto wa Bi. Mkubwa) kwa lengo la kuhongwa ili aache kupiga kelele kwa maana ya kumkosoa Mama kwa matendo yake. Hata hivyo, kwa maelezo yake...
Ila mkuu, jitahidi ukiandika thread isiwe na makosa mengi ya kiuandishi, yaani mpaka title.
 
Hapa burindi lolote linawezekana, hasa kwa hawa wanasiasa wenye njaa na walio kaa nje ya mfumo kwa muda mrefu.
Samahani wakuu....
Hivi huyu Pro Palamagamba Hydary Kabudi ni waziri wa nini huko kwenu...?
 
Ila mkuu, jitahidi ukiandika thread isiwe na makosa mengi ya kiuandishi, yaani mpaka title.
Kukosea kupo, ila kutofanya editing, ndio kosa kubwa zaidi. Usisahau unaweza hata kukosea kwenye matamshi unapoongea.

Turudi kwenye mada sasa.
 
Kukosea kupo, ila kutofanya editing, ndio kosa kubwa zaidi. Turudi kwenye mada.
Sawa mkuu, mada nimeielewa naendelea kusoma comments za wadau. Dr Slaa haaminiki sana na hajui asimame wapi kwa sasa. Tunamuona anavyocomments na inawezekana bahasha ilishatembea.
 
Completely the opposite.

Morally, CHADEMA was wrong. BUT practically, ndipo wakati CHADEMA walipata viti vingi Bungeni na kwenye serikali za mitaa kuliko wakati wowote. Hata kura za uRais zilikuwa nyingi zaidi (na kwa habri za chini chini, kura za Lowassa zilizidi za JPM lakini mchezo wa kawaida wa dola ya CCM ukatekelezwa kutangaza mshindi).

Jazba ya JPM kuitosa ajenda ya katiba mpya, kuzuia shughuli za kisiasa na kuanza kuiandama CHADEMA kwa gadhabu kuu, ni kielelezo cha tishio lililomkabili yeye binafsi na CCM yake. CHADEMA lilikuwa jinamizi hasa kwake na hadi leo linaogofya watawala waliopo. Ukiona violence na murder viko katika meza ya dola kama mkakati wa kisiasa, jua hasimu anayekabiliwa anatisha kiasi gani.

Halafu hizo rupia zinazotumika kuwanunua wanaCHADEMA ni pesa za walipa kodi zinazochotwa kiholela bila kiasi. Sio jambo la kujivunia kwenye nchi yenye umasikini uliokithiri. Hazitumiki kwa wanaCHADEMA tu. Hata CCM na wanasiasa wengine na watendaji wanaosumbua. Km. unampa Mtanzania Tshs. 1 Billioni halafu, akipokea, unacheka eti ananunulika kirahisi? What's at stake? It is a gross shame! Hakuna anayejali pesa za umma zinavyochezewa. Ingekuwa zinatoka mfukoni kwa mtu tungeelewa kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…