Pre GE2025 Dkt. Slaa: CHADEMA imeshindwa Kuwashawishi Watanzania Wakiamini

Pre GE2025 Dkt. Slaa: CHADEMA imeshindwa Kuwashawishi Watanzania Wakiamini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Babuuuuuuu!! Teh teh teh
Njaa ikiuma unatoka na single mpyaa!!
 
Unaweza kiamini chama ambacho kinawafundisha watu kutengeneza value ya kununuliwa?

Wanaofika bei watakuja kupiga bei Nchi.
Endeleeni kuwachotea mabilioni ya pesa za walipa kodi huku mkijisifu kufanikiwa kuwanunua "wanaofika bei kirahisi rahisi"!

Very ironic!
 
Lissu amenukuliwa katika clip moja akisema kuwa, alifuata na Abduli(mtoto wa Bi. Mkubwa) kwa lengo la kuhongwa ili aache kupiga kelele kwa maana ya kumkosoa Mama kwa matendo yake. Hata hivyo, kwa maelezo yake, Lissu alikataa hiyo ofa.

Lissu aliweka wazi kuwa yeye alikuwa ni mmoja tu wa watu waliotafutwa na Aduli kwa lengo la kuhongwa ili aache kusemasema.

Kwa msingi huo, kwakuwa Dr. Slaa nae alianza kumkosoa Bi. Mkubwa kwenye swala la mkataba wa DP World na sasa anaonekana kutulia na zaidi amegeuka kuishambulia CHADEMA kama Msigwa; je,haiwezekani Dr. Slaa nae alifikiwa na Abduli na kupewa chochote ndio maana leo hii anaishambulia CHADEMA?

Najiuliza tu.
Alirubuniwa na magufuli akakubli kuusaliti upinzani. Kamwe msimuamini, alijitutumua siku za nyuma akitishia ili apate uteuzi! Naona kuna ahadi kapewwwwwwwwwwww...haimsaidii kwa loloyte.
 
Dr Slaa ni mkubwa kuliko CHADEMA. Aliyoyaongea ni ukweli mtupu.
Ni kweli kuonyesha jinsi chadema ya sasa inavyo ongozwa na wapumbavu basi watakuja kupinga kama majuwa 😁😁😁 chadema kinataka katiba mpya ila hata wao awana hiyo. Katiba ambayo wataitumia kama watapata uongozi .. watusomee katiba yao itakuwa na nini na nini tuone ubora .
 
Hyu ex padre ni takatka kama za akina msgwa. Alirubuniwa na magufuli akakubli kuusaliti upinzani. Kamwe msimuamini, alijitutumua siku za nyuma akitishia ili apate uteuzi! Naona kuna ahadi kapewwwwwwwwwwww...haimsaidii kwa loloyte. Amelaaniwa na Mungu kuuasi Upadre
Mbona mbowe alilubuniwa na mafisadi Lowasa...sasa sibora huyo aliye lubuniwa kushikamana na mzalendo no 1 tanzania JPM...mbowe kalubuniwa na samia kipumbavu sana ...sasa mtu mpuuzi namna hiyo kweli tumwite kiongozi wetu si uanithi kabisa
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Muliro mwende mkalitazame kwa makini ili tujue TUNAKWENDA VIPI.

Tumeanza kusikia vijikelele kelele kutoka kwa Kakaangu MBOWE kuwa CHADEMA imedorora, sasa nawaagiza mwende mkalitazame hili swala kwa makini kisha mnirudishie ripoti yenye HADIDU REJEA.

Kamanda Muliro nina imani na uzoefu wako wa kucheza JUDO hivyo nakutuma uende ukaiokoe CHADEMA ili tuweze kusonga mbele kama taifa.

Wewe ni KAMANDA, na mimi ni MAMA. UKINIKUNA NITAKUKUNA.

Cc: Mbaga Jr Lucas Mwashambwa Poor Brain Nyani Ngabu chiembe FaizaFoxy
Jf ukiwa na stress ni za kujutakia tu!!!
 
My Take
1.Utaamini chama ambacho kwanachaguana Kwa rushwa?

2.Utaamini chama ambacho kina viongozi wanaonunulika kama nyanya?

3.Utaamini chama ambacho hakina Sera?

4.Utaamini chama ambacho kinatumia vurugu kulazimisha mambo Yao?

5.Utaamini chama ambacho kinatukana Watanzania?

6.Utaamini chama ambacho ni wakala na kibaraka wa Mabeberu?

7.Utaamini chama ambacho Viongozi wake wanafamilia Nje ya Nchi,wakikiwasha wanakimbia huko.

8.Utaamini chama ambacho kinategemea ushawishi wa mtu mmja mmja badala ya taasisi?

9.Utaamini chama ambacho kinahubiri Demokrasia huku wao Wakiwa hawana Demokrasia?

10.Utaamini chama Cha msimu wa uchaguzi?

11.Utaamini chama ambacho hakina itikadi kinaenda kama genge la wahuni au Mali ya mtu binafsi?

Mengine ongezeni wenyewe 😁😁😁😁👇👇

Dk.Slaa apewe Ulinzi Kwa kusema ukweli huu maana Hawa Jamaa Huwa hawapendi kuambiwa ukweli.

Na ieleweke vyema kwamba Watanzania wamekubali sera na utekelezaji wa ilani ya CCM ndio maana wamewapuuza Wapinzani uchwara 👇👇

---
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Peter Slaa, amekosoa vikali viongozi wa sasa wa chama hicho kwa kushindwa kuwaongoza wananchi ipasavyo na kutokujenga uelewa wa kutosha juu ya wajibu wao wa kisiasa.

Akizungumza kupitia mtandao wa Clubhouse hivi karibuni, Dkt. Slaa alieleza kuwa CHADEMA imeshindwa kuwapatia wananchi ujasiri na uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa nchini, hali iliyosababisha wananchi kubaki katika hali ya kutojiamini na kutegemea zaidi uongozi wa chama kuliko kuwa na nguvu zao wenyewe.

Katika mazungumzo yake, Dkt. Slaa alitilia mkazo umuhimu wa chama kuwa na mikakati ya kuwajengea uwezo wananchi, akieleza kuwa kwa muda mrefu wananchi wa Tanzania hawajawahi kupewa mwongozo madhubuti wa kujitegemea katika harakati za kisiasa.

"Usitegemee wananchi wawe mstari wa mbele, wanahitaji kuongozwa... CHADEMA mliwajengea uwezo? Upi? Kama mliwajengea uwezo wamefika wakashindwa kutekeleza, wananchi wajibu wao nini?" alihoji Dkt. Slaa, akisisitiza kuwa ni jukumu la viongozi wa kisiasa kuwaongoza wananchi na kuwapa moyo wa kusimama kidete kwa ajili ya haki zao.

Dkt. Slaa alitoa mfano wa matukio mbalimbali ya siku za karibuni likiwamo tukio la Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kuchoma vitenge vilivyokuwa vimetolewa kama zawadi na Rais Samia Suluhu Hassan. Tukio kama hilo ni ishara ya namna chama kimeshindwa kuleta ushawishi wa kutosha kwa wananchi.

“Kwenye suala hili kwa mfano la kuchoma kanga na vitenge, wananchi hawakumualika Rais Samia, nyinyi ndiyo viongozi mliomualika, mlikwenda kama chama kwenda kumbana Samia kwamba ulitupa zawadi, sasa leo tunataka kuchoma hizi zawadi na mkachoma mbele yake? Wananchi mtawaingiza kwenye matatizo tu bila sababu”, amesema Dkt. Slaa na kuongeza,

“Wananchi wana jukumu lao, wananchi mliwaomba kwenye maandamano wametokea. Wananchi wanahitaji kupewa ujasiri, na kauli za vyama vya upinzani juu ya maandamano zilitokaje?"

Aidha Dkt. Slaa amezungumzia suala la maridhiano akilitaja kuwa halikuwa shirikishi kwani CHADEMA walikaa kwenye meza moja na serikali katika mchakato wa maridhiano bila kuwa wazi kwa wananchi. Alidai kuwa kitendo cha viongozi wa chama kukaa na serikali kimya kimya kiliwafanya wananchi kuendelea kukosa ujasiri wa kushiriki kikamilifu katika harakati za kisiasa.

"Leo unategemeaje wananchi walipuke wakati nyinyi wenyewe mlikuwa mnakaa meza moja na serikali mkinywa juisi... Vitendo vile vilifanya wananchi waendelee kulala," alisema Dkt. Slaa, akiongeza kuwa chama kilipaswa kuwa na mikakati ya wazi na madhubuti ya kushirikiana na wananchi ili kuongeza hamasa katika kudai haki.

Pia, Dkt. Slaa alieleza kuwa chama kinachotaka kushinda na kuongoza lazima kiwe na mbinu nyingi na za kisasa za kufanikisha malengo yake. Alihoji kama CHADEMA imewahi kuwa na mbinu zaidi ya elfu moja kama ambavyo chama tawala, CCM, hujigamba kuwa nacho.

"CCM wana mbinu elfu moja, nyinyi CHADEMA mna ngapi? Mliwahi kutoka hadharani kutuambia?" alihoji Dkt. Slaa,

Kwa upande mwingine, Dkt. Slaa alitoa changamoto kwa viongozi wa sasa wa CHADEMA kuwa wazi na kutoa taarifa zaidi kwa umma juu ya mbinu na mikakati yao ili kuwaongezea wananchi imani na ujasiri katika harakati za kisiasa. Alisema kuwa kama viongozi wa CHADEMA walitoka salama kwenye kesi ya ugaidi, basi walipaswa kutumia fursa hiyo kuonyesha wananchi jinsi walivyopambana na changamoto kubwa na kuwahamasisha kuendelea na mapambano ya kisiasa kwa ushirikiano wa karibu.
Mzee wa maana kisiana sasa hivi amebaki Mzee Warioba tuu. Mzee kama Slaa hana hoja zozote za msingi, ni mvurugaji wa Siasa zetu.
 
Hapana. Magufuli alitaka kuiua CHADEMA ila akafa yeye.
Ccm ilipata mshtuko baada ya upinzani mkali walioupata mwaka 2015, hivyo walidhamiria kuuvunja nguvu upinzani kwa namna yeyote Ile.

Tatizo kubwa ni Ccm, Magufuli alikuwa sehemu yake tu.....hata Sasa Magufuli hayupo ila bado Upinzani umeminywa.

zitto junior Tindo
 
Lissu amenukuliwa katika clip moja akisema kuwa, alifuata na Abduli(mtoto wa Bi. Mkubwa) kwa lengo la kuhongwa ili aache kupiga kelele kwa maana ya kumkosoa Mama kwa matendo yake. Hata hivyo, kwa maelezo yake, Lissu alikataa hiyo ofa.

Lissu aliweka wazi kuwa yeye alikuwa ni mmoja tu wa watu waliotafutwa na Aduli kwa lengo la kuhongwa ili aache kusemasema.

Kwa msingi huo, kwakuwa Dr. Slaa nae alianza kumkosoa Bi. Mkubwa kwenye swala la mkataba wa DP World na sasa anaonekana kutulia na zaidi amegeuka kuishambulia CHADEMA kama Msigwa; je,haiwezekani Dr. Slaa nae alifikiwa na Abduli na kupewa chochote ndio maana leo hii anaishambulia CHADEMA?

Najiuliza tu.
Upuuzi wenu ndio huu hampendi kuambiwa ukweli wakati mnapotea!
 
Ajiandae kutukanwa matusi yote ayajuayo na asiyotajua. Maana Nchi hii ukitaka kuogeshwa matusi wakosoe CHADEMA
 
Haya ndiyo yanayokwenda kutokea chadema,
Rai - Dr Slaa apewe uenyekiti ili chama kiamke upya!
FB_IMG_17296682201823328.jpg
 
Back
Top Bottom