Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Jinai huwa haina expiry date. I hope police force itafuatilia haraka hiki kisa cha kutesa, kupiga, kuumiza na kutupa mtu porini kwa nia ovu kabisa ya kuua

Shahidi muhimu sana huyu na lazima abanwe akaeleze vizuri
 
Hiki kibabu kipumbavu sana. Yaani CDM kukipuuza kimejiona so special sana. Kila siku CDM. We si ulishamia CCM, tuachie CDM yetu. Nyani wa meru
 
Ukweli umweka mtu huru, mwache aongee ukweli Kwa umriwake hana Cha kupoteza na hana Sababu yoyote ya kumsingizia mtu uongo.
Tatizo atutaki kusikia ukweli.
 


Mzee huyu anashida sana na tamaa. Hata nyumba yake inasemekana ni ya mbowe kapewa bure. Canada alikuwa kazubaa mpaka wakamwombea kazi kwa Magufuli..... Lema yupo Canada anafanya shughuli zake za biashara sio kama huyu Padre fake
 
Dkt ulishasema umestaafu siasa waache wanaoendelea na siasa waendelee watanzania tutawapima na kuwachuja maana saa hizi unaongea mambo yasiyoeleweka keep cool na ufanye maisha mengine .
 
Binafsi nilijua kadiri umri unavyosonga ndivyo busara inakua kubwa, Lakini kwa huyu Dokta Mihogo hakika anazidi kuwa hayawani.!

This is too bad.
Huwezi kuficha uhalifu kama wewe sio sehemu ya wahalifu
Hata kama aliona akae kimya lakini moyo umeshindwa kuvumilia kwa kua kwanza aliwahi kuwa mtumishi wa mungu.
Nyie mashetani bakini na uhalifu wenu mkiwalinda wahalifu.
 
Tangu lini GIZA likailaani NURU?

Giza huwa likiiona NURU hukimbia zake na kuiacha Nuru ikiangaza...!

Sijui hata kama umenielewa..

Haijalishi umenielewa ama la. Muhimu ni kuwa, nikutakie usiku mwema..

Kwa heri, labda kesho nitakujibu iwapo utaendelea kutonielewa..!
 
Akajambe mbele huyu mzee..anaongea utopolo tu mzinzi mkubwa huyu
 
Ila wewe wenye thamani kwako ni Wale wanakwambia zungusha mikono ndo mabadiliko!!Nyi jamaa akili kisoda sana
Relax. Ukiamua kuwa shabiki wa binadamu jifunze subira. Ni kweli, wako wa kuzungusha mikono, wako akili kisoda, wako nyumbu, wako chawa … uchaguzi ni wako. Lakini ukitulia vyema, hakika utapata elimu kubwa toka baadhi yetu. Usitudharau sana. We’re not completely nuts, by the way.

Sijui kama unafahamu zilivyokuwa siku kuu (heydays) za watu kama Slaa, Zitto, Lissu, na wengineo. Laiti ungalijua, ungejiunga nasi kuomboleza msiba wa kuanguka kwa Dr. Slaa baada ya madhila yote yale aliyopitia na mke wake katika kulipigania taifa hili lisilo na shukrani. Hizi kauli anazotoa leo sio zile za mwanamapinduzi Slaa aliyetetemesha utawala wa awamu ya nne ingawa walidai kumuogopa zaidi Lissu.

Bila shaka mashabiki wa kweli wa Dr. Slaa leo hii wameinamisha vichwa chini wanajiuliza CCM au jiwe alimfanya nini Slaa kuwa hivi? - manake aibu wanaona wao. Will the real Dr. Slaa stand up please?
 
I believe he is cursed.
 
The look, the sound and the voice of betrayal...
 
Huwezi kuficha uhalifu kama wewe sio sehemu ya wahalifu
Hata kama aliona akae kimya lakini moyo umeshindwa kuvumilia kwa kua kwanza aliwahi kuwa mtumishi wa mungu.
Nyie mashetani bakini na uhalifu wenu mkiwalinda wahalifu.
Kama angekuwa na dhamira njema ya kufanya toba, angeenda Polisi kujisalimisha kwa kushiriki kufanya uovu. Vinginevyo, tujue tu ni mtu mnafiki, mwongo na mwovu.

Huyu ndiye aliyekuja na orodha ya mafisadi. Aliwataja watu msururu, Lowasa ni mmojawapo. Na baadaye, watu wengine wakaendelea kuimba wimbo wake aliouanzisha. Atuambie, orodha ya mafisadi, ilikuwa uwongo au ukweli?

Dr. Slaa, yumkini ni mtu aliyeamua kuishi kwa uwongo, huku akiwaaminisha watu kuwa ni mtu mwenye msimamo. Alikuwa CCM, akagombea ubunge, akashindwa kwenye kura maoni. Akiwa CCM hatukuwahi kumsikia akiilaumu CCM, serikali yake wala wanaCCM wenzake kwa jambo lolote.

Akaenda CHADEMA, akawa mbunge na katibu mkuu wa chama. Akiwa huko, akailaumu CCM, Serikali ya CCM na wanaCCM kwa ufisadi. Je, ufisadi ulianza CCM baada ya yeye kuondoka?

Akiwa CHADEMA, tena yeye akiwa mtendaji mkuu, hatukumsikia akiilaumu CHADEMA au viongozi wenzake kwa uovu wowote. Akashiriki kumleta Lowasa, aliyemtaja kuwa ni fisadi. Alipoondolewa kuwa mgombea wa Urais, kumpishaowasa, akazira na kuondoka. Alipoteuliwa na Magufuli, CCM ikawa nzuri kwake. Na Magufuli, licha ya kuvuruga uchaguzi wa 2020, kwake akawa ni kiongozi lulu ya Taifa, CHADEMA ni waovu.

Rais Samia, akiendelea kumwacha sebuleni, lazima kuna siku ataibuka na shutuma dhidi ya utawala wake. Akimpa ulaji, lazima atamsifia.

Wapo watu, kadiri umri unavyoenda, ndivyo wanavyizidi kuwa na hekima, lakini wapo ambao miili yao huzeeka pamoja na akili.
 
Tazama jinsi huelewi unashosimamia, mwanzo ulisema "majimbo mengi" nimekubana kidogo umehamia kwenye "baadhi ya majimbo" unazidi kunithibitishia ulivyokosa hoja ya kusimamia.

Next time ukija huku jf njoo na hoja inayoeleweka, sio unabadilika kama kinyonga, wasalimie huko kwenu.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…