Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Naona mnamchambua yeye! Angekuwa kilema ndicho mngechambua. Jadilini hoja zake! Otherwise tumejaa unafiki tu! Hapa wote CCM na Chadema mtaungana sababu vyama vyenu ni sehemu ya tatizo nchi hii.
Mnafiki ni wewe. Wewe hautaki akosolewe. Akikosolewa unadai ni personal attack. Hizo shutma na insinuations anazotoa bila ushahidi wowote hauoni kuwa ni gutter politics! Acha watu wamwambie ukweli wake.

Amandla...
 
Principles my foot. Hawa ni apologists wake ambao wanataka kutuaminisha Dr Slaa wa sasa ni yule wa Mwembe Yanga. Ovyo kabisa.

Amandla...
 
Kwenye swala la kupigwa risasi Tundu Lissu, anajitahidi kuonyesha UPUMBAVU WAKE WA UZEENI, yaani kwa style ile ya uongozi wa Magufuli, CHADEMA wapange njama za kumshambulia Lissu, wawaondoe walinzi wa area D, wang'oe CCTV camera, wafanye tukio la kumiminia risasi Lissu, waondoke ndani ya mipaka ya jiji la Dodoma wakiwa salama?

Baada ya kupigwa risasi, wafanye mpango wa kushawishi spika asimlipe fedha za matibabu, (spika naye akubaliane na Chadema kutomlipa stahiki zake, na akae kimya)

Baada ya kumnyima matibabu, Chadema wafanye njama za kumvua ubunge na kusimangwa kuwa "hajulikani alipo" halafu serikali ya MAGUFULI inyamaze tu, isikifute CHADEMA????
 
Dr atuelezee tu vizuri hata Chacha Wangwe alivyotulizwa baada ya kuonyesha nia ya kuutaka uwenyekiti... na dereva hakupata hata mchubuko. Kama kwa lissu.
 
I agree with you! Majibu yake kuhusu hili yanaleta tafsiri nyingi. Vipi kuhusu hoja zingine?

1. Sikubaliani naye kuhusu mtazamo wake kuhusu ripoti ya CAG kwamba isiwe public discussion. Mimi nadhani hoja za CAG zijibiwe na hao walioandikwa "vibaya." Hoja hizo zijibiwe kwa wananchi na zijibiwe mbele ya kamati ya bunge.

2. Sikubaliani na mtizamo wake kuhusu wabunge 19 ambao Chadema iliwakana. Ningemuelewa kama angeshauri mamlaka za uchunguzi zifuatilie kujua kilichotokea. Kama Chadema wanakana kuwa hawakuwapitisha wanachama wao kwenda bungeni, je nani aliwawezesha? Hilo ni suala la POLISI / TAKUKURU kuchunguza.

3. Kuhusu suala la Tundu Lissu, hivi Dr.Slaa anashindwa hata kutoa pole? Dr.Slaa anashindwa kushauri iundwe Tume ya Uchunguzi ili tujue nani alitaka kumuua mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni? Dr.Slaa anashindwa kumtaka Spika / Bunge lieleze Kamati ya Adadi Rajabu ilitoa ripoti gani ilipotakiwa na Spika Ndugai kuchunguza suala hilo?

4. Sikubaliani na kauli zake kuhusu Katiba Mpya. Kauli kwamba Katiba sio muarubaini wa matatizo ya Watanzania ni kauli zinazolenga kufifisha juhudi na harakati za kudai Katiba mpya. Hakuna aliyedai kwamba Katiba mpya ni muarubaini wa matatizo ya nchi yetu. Katiba sio muarubaini, sasa kwanini tuliandika katiba ya 1962, 1965, na 1977? Na kwanini tusiandike mpya sasa hivi kama tunaamini ya 1977 haitufai?
 
Huyu sasa si akamatwe kwa kuficha uovu. Kama kijana alikuja na kukiri kwamba walimteka mtu na kumjeruhi kwa nini asiwa ripoti police? Dr. Slaa ni mhalifu pia. Kumbe CHADEMA ni watekaji na walianza kuteka wakati wa uongozi wa Dr Slaa?
 

Hii nchi ili utoke lazima uiseme CHADEMA. Huyu alikuwa mamluli ndani ya CHADEMA. Leo anaiona katiba ya Sasa Ni Bora kuliko rasimu ya Warioba.
 
Sio kuteleza, anasafisha kinyesi kwa mikono, halafu anategemea asinuke!

..Dr.Slaa ameulizwa mara nyingi suala la Tundu Lissu.

..lakini mpaka sasa hivi bado anatoa majibu yasiyoendana na Dr.Slaa wa kabla hajahama Chadema.

..angekuwa amekosea mara ya kwanza tungeweza kusema ni bahati mbaya, but over and over anatoa majibu ya ajabu-ajabu.

cc MTAZAMO
 
Nilipitia Sheria ya Ukaguzi wa Umma ya mwaka 2008 pamoja na kanuni zake za mwaka 2009; sheria inasema wazi kwamba ripoti za CAG zikiishaingia Bungeni zinakuwa ni public documents na hivyo zinakuwa wazi kwa umma. Pia CAG huwa anaziweka kwenye website ya ofisi yake hivyo kila mtu anaweza kuzisoma na kutoa maoni. Kama aliiandika hiyo sheria basi naona kaisahau: uzee nao unakuja na mambo yake.
 
Huyu mfaller sana hajui hata anasimamia nini linapuyanga tu.
Hajielewi vuguvugu Moto au baridi!?
Angekuwa balozi huko alikokuwa wala asingeongea haya!

Eti wafanyabiashara wengi wakirudi nchini, atutajie Nani Kwa mfano!!?

Utasikia maslahi mapana ya nchi! My foot!
So angeshinda uraisi angeongea haya Leo!! Si ajabu angewapa hao red brigade kazi za kumlinda Ikulu?!

Sometimes huhitaji kubwabwaja ovyo, kukaa kimya nayo ni heshima!
 
Huyu mkewe Yosofina amfungie ndani amkalishe kimya, anakoelekea, atapoteza heshima aliyojijengea!
DK sifuri Tu aweza kuwa kihoja na kiroja!

Slaa kama unasoma hapa tafadhali kaa chini usome Tu MAVITABU ya falsafa, biblia, saikolojia n.k
Ulishasema umestaafu siasa, basi simamia hayo maneno!
 
Huyo Slaa ameshakuwa mhimili wa serikali.
 
Dr.Slaa Hajawahi kua mnafiki na siku zote anaongea maneno ambayo si lazima uyapende,yeye si muumini wa siasa maji taka za kina zito na lisu pamoja na wengine wa chama kijani.

Na ni mtu pekee aliyesema Mzee mamvi ni fisadi na hakurud nyuma KWA hilo kama wengine walivyo kuja kumsafisha KWA dodoki.

Tunapaswa kujifunza kwake,KWA misimamo na hata mtazamo wa siasa za kweli ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…