Dkt. Slaa: Freeman Mbowe aachane na Maridhiano maana hayafai, Katiba sio mali yake binafsi au mali ya Rais Samia

Katiba ya wananchi italetwa na wananchi wasio na mihemko ya vyama vya siasa ili iwesheria mama Kwa vyama vyenu.
 
Katiba ya wananchi italetwa na wananchi wasio na mihemko ya vyama vya siasa ili iwesheria mama Kwa vyama vyenu.
Hao wa namna hiyo hawapo Tanzania wala huko duniani...!!

Kipi usichokielewa wewe.!!!???

Kwanini umeshindwa kujibu swali rahisi tu la unaposikia "chama cha siasa", wewe unaelewa ni kitu gani?

Bila shaka wewe unadhani ni Jiwe fulani hivi au tembo wa Mikumi National Park au nyumba fulani usiyoipenda, au siyo?

Chama cha siasa ni watu. Na hao ndiyo wanaotia pressure ili mchakato wa kupata katiba mpya uanze. Lakini wewe umejikalia nyuma ya keyboard ya ka - TECNO POP3 Kako hako ukidhania katiba mpya inapatikana hivyo..
 

Daah ujuaji mwingine bhana. Yaani hapo nawe unaona umeweka point? Aisee izi tecno hizi.
 
Chama chenu tafadhali kisinajisi mchakato. Kaeni pembeni kabisaa, kama mnataka jivueni uchama muwe neutral. Halafu mje tutafute katiba ambayo ni Sheria mama isiyo na mlengo uvyamaaa. Sawaa
 
So una maana wanaoongelea CDM ni wajinga tu kwani wanaongelea kitu kisichokuwepo
Wewe wasema
Sijui km ni wajinga, waongo au hawamaanishi wanachokisema.
Hawaaminiki!
 
Apeleke njaa na unafiki huko alipoteuliwa balozi mbona hakusema hayo??? Kina Mbowe walipofungwa hakuongea alechekelea mshahara wake leo ndio analeta kiherehere cha uzeeni!!! Unafiki nikitu kibaya sana
 
Kila
Confrontational politics hazijawahi kuisaidia CDM sana sana zimewaumiza mno (Rip Mawazo, Saanane)......Mbowe apongezwe kwa hatua hii ya maridhiano angalau yataipa Chadema Uhuru wa kufanya siasa.
zitto junior
Wakati unabebwa na mbinu mpya kwenye siasa kwa mazingira mapya ya kisiasa ya leo, siasa za maridhiano ni muhimu. Mbowe yuko sahihi. Mbinu ile ile cnfrotational politics miaka 20 haijasaidia,CDM inaanzishwa miaka ya nyuma na Mtei ilianza na constructive politics kumbukeni! Na ilikua sana.
 
Huyu SSH ampe tu mnofu kidogo utamsikia akisema "katiba siyo kipaumbele kama watu wanapata chakula malazi na mavazi katiba ya nini tena??" Huyu HAAMINIKI TENA.
 
Chama chenu tafadhali kisinajisi mchakato. Kaeni pembeni kabisaa, kama mnataka jivueni uchama muwe neutral. Halafu mje tutafute katiba ambayo ni Sheria mama isiyo na mlengo uvyamaaa. Sawaa
Ujamaa ni mhimu Hilo utakalo halipo na haliwezekani

Tatizo lako ni kuwa HUJUI na HUELEWI usemalo..!!

Na bahati mbaya kabisa kwako ni kuwa, hujui kuwa hujui na umeshupaza shingo vibaya huku ukijifanya unajua!!

Shauri lako. Utavunjika ooooho😶😶😶😶

Pole na Kwa heri...
 
Chama kitafute katiba ya chama chenu, hatutaki katiba yetu ya wananchi kunajisiwa na chama chochote Cha kisiasa. Anayetaka kutafuta katiba yetu jivue uanaharakati wa chama Chako Cha kisiasa jivike uraia ijapokuwa uanamapenzi ya chama chako. Tunataka mchakato wa katiba ya wananchi isinajisiwe na vyama vyenu, tunataka kama walivyokuwa akina walioba na wenzake, waliweka mapenzii ya vyama vyao pembeni, ndio maana wakaja na kitu kizuriii. Sawaaa?
 
Nakushukuru sana
 
Bado hujui usemalo wala hujui ujualo..!

Unahitaji kuelimishwa zaidi na zaidi...

Bahati mbaya kwako ni kuwa hutaki kukubali kuelimishwa..

Pole sana, Kaa na ujinga wako na Kwa heri🚶🚶🚶🚶🚶
 
Bado hujui usemalo wala hujui ujualo..!

Unahitaji kuelimishwa zaidi na zaidi...

Bahati mbaya kwako ni kuwa hutaki kukubali kuelimishwa..

Pole sana, Kaa na ujinga wako na Kwa heri🚶🚶🚶🚶🚶
Msinajisi katiba yetuu. Akina walioba walifanya KAZI nzuriii saaana Wala hawakuweka uanaharakati wa vyama, waliweka pembeni wakawa sehem ya wananchi wakatuletea kitu kizuriii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…