Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Unazidi kuonesha jinsi ulivyo short sighted unasema Slaa ni msaliti wakati nyie wenyewe mlisaliti kauli zenu na kumchukua fisadi Lowassa. Let that sink in, mnamchukua kada wa CCM na fisadi halafu mnajiona ni watu wa principle. You're just fools. Leo mnaenda maridhiano na Samia anawachezea mnakuja kulalamika tena. Msipo wapa support wenzenu kufanya maandamano mtapoteza hii wave na mtaendelea kuwa na a mediocre party which is bad for our democracy but what to do kama chama kimejaa illiterate arrogant egotistic fools. Kuna muda nahisi MaCCM yame infiltrate hiko Chama.useless ni wewe usiyejua nguvu ya historia. Utakuwa chekechea, walio na umri wanakumbuka kauli ya Nyerere kuwa Idd Amin usimwamini (akimwambia Aboud Jumbe).
Unakwenda vitani na msaliti?
Mwabukusi ni hao hao..alikuwa chadema, akatoka akaenda NNC mageuzi...kutanga tanga tu na vyeo!
Ngoja tuone atapata watu wangapi kwenye maandamano.....