- Thread starter
- #21
vipande 30 vya fedha kwa lijualikaliHata Lijualikali alitoa hiyo siri ya Chadema kutekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipande 30 vya fedha kwa lijualikaliHata Lijualikali alitoa hiyo siri ya Chadema kutekana
Lowassa alitoa ngapi 2015?vipande 30 vya fedha kwa lijualikali
Halafu huoni Mbowe alivyotikiswa na vyeo (wabunge) na fedha za Lowassa. Nyie watu ni useless ndio maana Mwabukisi anawamaindi wanasiasa wa Tanzania. Muda wa kwenda vitani dhidi ya CCM mnaanza petty issues kati ya Slaa na Mbowe.Fedha mwana haramu! walitikiswa na vyeo na fedha.....
Who was in need of the other, CHADEMA OR Lowasa?Lowassa alitoa ngapi 2015?
useless ni wewe usiyejua nguvu ya historia. Utakuwa chekechea, walio na umri wanakumbuka kauli ya Nyerere kuwa Idd Amin usimwamini (akimwambia Aboud Jumbe).Halafu uoni Mbowe alivyotikiswa na vyeo (wabunge) na fedha za Lowassa. Nyie watu ni useless ndio maana Mwabukisi anawamaindi wanasiasa wa Tanzania. Muda wa kwenda vitani dhidi ya CCM mnaanza petty issues kati ya Slaa na Mbowe.
Lowassa ndio aliinunua Chadema kwa Muda ili aitumie kutafuta uRaisWho was in need of the other, CHADEMA OR Lowasa?
Slaa ameifanya Chadema makubwa kuliko wote hapa mnaolalamika. Mbowe na Slaa wote wana ubaya wao na hadi sasa sioni sababu kwanini Chadema mna react kijinga hivi. Mbowe kashawajibu mna ratiba yenu. Well and good endeleni na ratiba yenu.
Kile kijana ndio kipuuzi kabisa.Ukuu wa wilaya umepunguza sana uwezo wake wa kureason mambo.Njaa ni kitu kibaya sanaHata Lijualikali alitoa hiyo siri ya Chadema kutekana
Wassira: Chadema Chagueni Moja mnataka Nusu Mkate au Mwabukusi?useless ni wewe usiyejua nguvu ya historia. Utakuwa chekechea, walio na umri wanakumbuka kauli ya Nyerere kuwa Idd Amin usimwamini (akimwambia Aboud Jumbe).
Unakwenda vitani na msaliti?
Mwabukusi ni hao hao..alikuwa chadema, akatoka akaenda NNC mageuzi...kutanga tanga tu na vyeo!
Ngoja tuone atapata watu wangapi kwenye maandamano.....
Umepotea, the vise versa was the case! Lowas was a hot cake at that time...... CCM wote waliimba tuna Imani na lowasa.... au umesahau mpaka Magufuli/Jiwe akasema angeliwapoteza nusu....Lowassa ndio aliinunua Chadema kwa Muda ili aitumie kutafuta uRais
Kile kijamaa kipuuzi kabisaKile kijana ndio kipuuzi kabisa.Ukuu wa wilaya umepunguza sana uwezo wake wa kureason mambo.Njaa ni kitu kibaya sana
Hujui historia wewe huyo Mwabukusi keshagombea Ubunge huko Tukuyu kupitia Chama chake cha NCCR MageuziYani Inabidi Chadema wawenae makini maana anachofanya nikutafuta umaarufu kwakua anania yakufungua chama cha siasa, maana ukiwa makini utajiuliza mtu kama Mwambukusi nikama anaanza kuwa namawazo yakugombea Ubunge Sasa atagombea chama gani wakati anaviponda vyama vyote vya siasa nchini sio kua wanampango wakufungua chama kipya na babu yake?
CHADEMA wapo vizuri wanafanya investigationKama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Sasa atagombea kwa tiketi ya chama gani maana anasema tanzania vyama vyote vya upinzani havifai.Hujui historia wewe huyo Mwabukusi keshagombea Ubunge huko Tukuyu kupitia Chama chake cha NCCR Mageuzi
Hata Chadema atakitumia tu Ikifika 2025Sasa atagombea kwa tiketi ya chama gani maana anasema tanzania vyama vyote vya upinzani havifai.
Eeh umetokea pande zipi ustadh maalim.. Mbona yamekutoka mfululizo..?Slaa ameifanya Chadema makubwa kuliko wote hapa mnaolalamika. Mbowe na Slaa wote wana ubaya wao na hadi sasa sioni sababu kwanini Chadema mna react kijinga hivi. Mbowe kashawajibu mna ratiba yenu. Well and good endeleni na ratiba yenu.