Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Bwana Retire,Sasa tumwamini nani?Hii ni strugle kama slaa ameamua kushirikia hakuna sababu ya kumzuia kushiriki.Suala la yeye kuwa kigeugeu etc hilo ni swala jingine.Ushauri wangu.Kaa chini unyweshwe Uji.Bangladesh
 
Halafu uoni Mbowe alivyotikiswa na vyeo (wabunge) na fedha za Lowassa. Nyie watu ni useless ndio maana Mwabukisi anawamaindi wanasiasa wa Tanzania. Muda wa kwenda vitani dhidi ya CCM mnaanza petty issues kati ya Slaa na Mbowe.
useless ni wewe usiyejua nguvu ya historia. Utakuwa chekechea, walio na umri wanakumbuka kauli ya Nyerere kuwa Idd Amin usimwamini (akimwambia Aboud Jumbe).
Unakwenda vitani na msaliti?
Mwabukusi ni hao hao..alikuwa chadema, akatoka akaenda NNC mageuzi...kutanga tanga tu na vyeo!
Ngoja tuone atapata watu wangapi kwenye maandamano.....
 
Yani Inabidi Chadema wawenae makini maana anachofanya nikutafuta umaarufu kwakua anania yakufungua chama cha siasa, maana ukiwa makini utajiuliza mtu kama Mwambukusi nikama anaanza kuwa namawazo yakugombea Ubunge Sasa atagombea chama gani wakati anaviponda vyama vyote vya siasa nchini sio kua wanampango wakufungua chama kipya na babu yake?
 
Wassira: Chadema Chagueni Moja mnataka Nusu Mkate au Mwabukusi?

😂😂😂😂🔥🔥🌟🤩🐼🐼
 
Lowassa ndio aliinunua Chadema kwa Muda ili aitumie kutafuta uRais
Umepotea, the vise versa was the case! Lowas was a hot cake at that time...... CCM wote waliimba tuna Imani na lowasa.... au umesahau mpaka Magufuli/Jiwe akasema angeliwapoteza nusu....
 
Yani Inabidi Chadema wawenae makini maana anachofanya nikutafuta umaarufu kwakua anania yakufungua chama cha siasa, maana ukiwa makini utajiuliza mtu kama Mwambukusi nikama anaanza kuwa namawazo yakugombea Ubunge Sasa atagombea chama gani wakati anaviponda vyama vyote vya siasa nchini sio kua wanampango wakufungua chama kipya na babu yake?
Hujui historia wewe huyo Mwabukusi keshagombea Ubunge huko Tukuyu kupitia Chama chake cha NCCR Mageuzi
 
Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.

Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU

KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
CHADEMA wapo vizuri wanafanya investigation
 
Hujui historia wewe huyo Mwabukusi keshagombea Ubunge huko Tukuyu kupitia Chama chake cha NCCR Mageuzi
Sasa atagombea kwa tiketi ya chama gani maana anasema tanzania vyama vyote vya upinzani havifai.
 
Slaa ameifanya Chadema makubwa kuliko wote hapa mnaolalamika. Mbowe na Slaa wote wana ubaya wao na hadi sasa sioni sababu kwanini Chadema mna react kijinga hivi. Mbowe kashawajibu mna ratiba yenu. Well and good endeleni na ratiba yenu.
Eeh umetokea pande zipi ustadh maalim.. Mbona yamekutoka mfululizo..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom