Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Unazidi kuonesha jinsi ulivyo short sighted unasema Slaa ni msaliti wakati nyie wenyewe mlisaliti kauli zenu na kumchukua fisadi Lowassa. Let that sink in, mnamchukua kada wa CCM na fisadi halafu mnajiona ni watu wa principle. You're just fools. Leo mnaenda maridhiano na Samia anawachezea mnakuja kulalamika tena. Msipo wapa support wenzenu kufanya maandamano mtapoteza hii wave na mtaendelea kuwa na a mediocre party which is bad for our democracy but what to do kama chama kimejaa illiterate arrogant egotistic fools. Kuna muda nahisi MaCCM yame infiltrate hiko Chama.
 
😂😂😂🔥
 
Wenye uthubutu wa kuwaita watu barabarani mnawanyanyapaa. Bila shaka ndiyo maana ma CCM yanawashangilia Kwa bashasha. Kulikoni kuwa na maadui wa kudumu ndugu?
 
Watu kama hawa ndiyo kutwa kucha wakisema watanzania ni waoga. Walipo mawazo ni kwenye ubunge na ruzuku.

Kwa mawazo kama ya hao ndugu CCM wako sahihi:

"Wataendeleza kutawala zaidi ya miaka 100 mingine."
 
Kwani samia anaaminika? Pamoja na kiapo cha kuilinda katiba, imekuwaje akawa mtu wa kuuza bandari. Imekuwaje awe mtu wa kuishi arabuni? Kwani Slaa anahitaji kuaminika ili kutueleza wizi wa serikali hii? Kila mtu najionea!!!
 
Wadanganyika wakikuelewa unistue nimekaa kwenye benchi, pale!
 
Dr slaa ndiye mpinzani mkweli na wakuaminiwa kuliko wahuni wote walioko upinzani

Usipomwamini dr slaa maana yake TANGANYIKA hakuna upinzani
 
Fortune = ruzuku = good business
Ruzuku iko kikatiba
Waambie ccm waifute uwezo huo wanao na sio kuwalaumu chadema ile sio zawadi ni haki yao kikatiba huwa unacomment ujinga

Ruzuku sio biashara ni haki ya kikatiba na ccm ndo wanufaikaji wakubwa sana wa ruzuku kuliko hata hao chadema
 
Usiniwekee maneno mdomoni ndugu. Wapi nimesema namlaumu Chadema au awaye yote?

Hata hivyo zingatia mno hoja zinazowakera wasaka ruzuku, bila kusahau kuwa vyama uchwara vya upinzani vina jambo moja vinalosikilizana vyema mno na CCM:

"Kwenye ruzuku aka maokoto."

Hapo haupo mgogoro hata kidogo.

Kimsingi ruzuku ni rushwa inayouchelewesha mno ukombozi wa nchi hii.
 
Wasaka ruzuku zifuten hizo ruzuku ili wasizisake
Kwenye ukombozi wa nchii hii so far umefanya nin mchango wako ni upi au ndo ile unataka wanaume wenzako wakapambane alafu wewe umekaa kwenye keyboard
 
Wasaka ruzuku zifuten hizo ruzuku ili wasizisake
Kwenye ukombozi wa nchii hii so far umefanya nin mchango wako ni upi au ndo ile unataka wanaume wenzako wakapambane alafu wewe umekaa kwenye keyboard

Hiyo ni moja ya agenda muhimu ikiwamo kudai Katiba mpya Sasa. Tunajua wasaka ruzuku mtakomaa. Ila habari ndiyo hiyo.

Siasa ni huduma siyo fursa.
 
Hiyo ni moja ya agenda muhimu ikiwamo kudai Katiba mpya Sasa. Tunajua wasaka ruzuku mtakomaa. Ila habari ndiyo hiyo.

Siasa ni huduma siyo fursa.
Agenda ya chadema ni kudai katiba mpya ila unawatuhumu wasaka ruzuku

We umefanya nini cha maana kwenye kudai katiba mpya
wanaodai katiba mpya hawajajificha kwenye majina bandia
 
lakini kwenye siasa kama ya nchi yetu tunahangaika tu
mtu moja ambaye naweza kuamini anatamani mabadiliko ni mbowe na heche na lisu
Wanahitaji Mabadiliko ya namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…