Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Kwani samia anaaminika? Pamoja na kiapo cha kuilinda katiba, imekuwaje akawa mtu wa kuuza bandari. Imekuwaje awe mtu wa kuishi arabuni? Kwani Slaa anahitaji kuaminika ili kutueleza wizi wa serikali hii? Kila mtu najionea!!!
kwaheri! maantunapishana sana
 
mbaya sana chadema walishawahi kuleta hitikadi za ugaidi naishukuru mamlaka kwa kuwashusha bega kabla hawaja komaa
 
Mbowe ni Mbowe, Slaa atabaki kuwa Slaa, Ila tu kinachowashinda chadema wakati wote ni namna ya kuunganisha nguvu. Fikiria ule mpasuko aliosababisha Mbowe na Lowasa na CCM wakashinda (triumph), Lowasa karudi CCM wala hawakumuuliza kuhusu matusi aliyotoa kwa CCM wakaunganisha nguvu, sasa huku chadema angalia jabali anarudi badala ya kumpokea muunganishe nguvu bado mnakalia kuangalia dhambi zake ambazo kiukweli ni siasa za kuchafuana ambazo tumezoea kusikia ukiwa upande mwingine.

Angalieni Imani yake kwa chadema
 
Mambo anayoongea Slaa ni ya msingi sana kwa wananchi kuliko porojo za Mbowe
 
Dr mihogo chama ambacho anaweza dumu nacho nichakikatoliki jamaa hapendi kuona imani nyingine ikigombea au kuongoza alimkimbia lowasa kwakuwa alikuwa anapambana na mkatoliki mwenzake kiongozi mdini hatumtaki Tanzania nimoja iendeleee kuwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…