johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani Freeman na Nyaucho walistaafu lini?😂😂🔥Yule Babu huenda kajiunga na kitengo ili aje kutuvuruga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Freeman na Nyaucho walistaafu lini?😂😂🔥Yule Babu huenda kajiunga na kitengo ili aje kutuvuruga.
kwaheri! maantunapishana sanaKwani samia anaaminika? Pamoja na kiapo cha kuilinda katiba, imekuwaje akawa mtu wa kuuza bandari. Imekuwaje awe mtu wa kuishi arabuni? Kwani Slaa anahitaji kuaminika ili kutueleza wizi wa serikali hii? Kila mtu najionea!!!
Msaliti wewe na samia akawatema..... pole akakutupa mbaliChadema ndio Wasaliti
whatever!
Mlimsaliti Dr Slaa kwa burungutu la Laigwanan Lowasa 😂Msaliti wewe na samia akawatema..... pole akakutupa mbali
Mwabukusi haendi popote. Let us wait and see his maandamano, nitakutafuta! Huyu anatafuta ubunge na hatapata......It matters:
ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama
Whatever = unprincipled
Ndipo ilipo hoja ya kina Slaa Mwabukusi na wenzao.
Ndiyo maana mmechachawa!
DP World katua Ufipa st 😂😂🔥
Pole sana ..samia hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee angalau wewe mkono unaenda kinywani...Mlimsaliti Dr Slaa kwa burungutu la Laigwanan Lowasa 😂
Chadema ina Mbunge mmoja 😂😂🔥Mwabukusi haendi popote. Let us wait and see his maandamano, nitakutafuta! Huyu anatafuta ubunge na hatapata......
Yule Babu huenda kajiunga na kitengo ili aje kutuvuruga.
Mwabukusi haendi popote. Let us wait and see his maandamano, nitakutafuta! Huyu anatafuta ubunge na hatapata......
Nusu MkateKwa hiyo mtakuwa na CCM na polisi kuona Maandamano hayafanyiki wala kufanikiwa? Ubunge mnatafuta ninyi na ndiyo maana mmechachawa .. ya kuwa mko ki fursa zaidi.
Mambo anayoongea Slaa ni ya msingi sana kwa wananchi kuliko porojo za MboweHawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao!
Tukubali kwamba kwa wakati huu Slaa anasema yanayoeleweka kwa wananchi; awe ni kibaka, mwizi, gaidi, muongo, n.k. tunasema asemayo kwa sasa ni perfect!
Bahati nzuri pia tukubali kwamba, ufaham,u wa Binadamu unaturuhu kuuona uaminifu wa Slaa usoni. KUna watu kwenye majukwa hata wakipiga kelele, tunachoona ni akili mbaya na sura za uongo.
Chadema walipiga kelele?Hakuna mtu mwenye uadui na slaa acha upotoshaji
In fact slaa alivyowekwa korokoroni juzi kwenye sakata la bandari chadema ndo waliopiga kelele na sio ccm
Nusu Mkate
mbaya sana chadema walishawahi kuleta hitikadi za ugaidi naishukuru mamlaka kwa kuwashusha bega kabla hawaja komaa
Dr mihogo chama ambacho anaweza dumu nacho nichakikatoliki jamaa hapendi kuona imani nyingine ikigombea au kuongoza alimkimbia lowasa kwakuwa alikuwa anapambana na mkatoliki mwenzake kiongozi mdini hatumtaki Tanzania nimoja iendeleee kuwa mojaKama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!