Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Kwani samia anaaminika? Pamoja na kiapo cha kuilinda katiba, imekuwaje akawa mtu wa kuuza bandari. Imekuwaje awe mtu wa kuishi arabuni? Kwani Slaa anahitaji kuaminika ili kutueleza wizi wa serikali hii? Kila mtu najionea!!!
kwaheri! maantunapishana sana
 
mbaya sana chadema walishawahi kuleta hitikadi za ugaidi naishukuru mamlaka kwa kuwashusha bega kabla hawaja komaa
 
Mbowe ni Mbowe, Slaa atabaki kuwa Slaa, Ila tu kinachowashinda chadema wakati wote ni namna ya kuunganisha nguvu. Fikiria ule mpasuko aliosababisha Mbowe na Lowasa na CCM wakashinda (triumph), Lowasa karudi CCM wala hawakumuuliza kuhusu matusi aliyotoa kwa CCM wakaunganisha nguvu, sasa huku chadema angalia jabali anarudi badala ya kumpokea muunganishe nguvu bado mnakalia kuangalia dhambi zake ambazo kiukweli ni siasa za kuchafuana ambazo tumezoea kusikia ukiwa upande mwingine.

Angalieni Imani yake kwa chadema
 
Hawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao!
Tukubali kwamba kwa wakati huu Slaa anasema yanayoeleweka kwa wananchi; awe ni kibaka, mwizi, gaidi, muongo, n.k. tunasema asemayo kwa sasa ni perfect!

Bahati nzuri pia tukubali kwamba, ufaham,u wa Binadamu unaturuhu kuuona uaminifu wa Slaa usoni. KUna watu kwenye majukwa hata wakipiga kelele, tunachoona ni akili mbaya na sura za uongo.
Mambo anayoongea Slaa ni ya msingi sana kwa wananchi kuliko porojo za Mbowe
 
Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.

Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU

KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Dr mihogo chama ambacho anaweza dumu nacho nichakikatoliki jamaa hapendi kuona imani nyingine ikigombea au kuongoza alimkimbia lowasa kwakuwa alikuwa anapambana na mkatoliki mwenzake kiongozi mdini hatumtaki Tanzania nimoja iendeleee kuwa moja
 
Back
Top Bottom