Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Inaonekana basi watu wa chadema hawana misingi ya uzalendo wa kweli, ni maslahi tu yanawasumbua. Wanategemea sana mtu fulani. Kumbe wananunulika kirahisi. Tizama gaidi Mbowe, kawekwa ndani, kesi za kubambikiwa, katolewa, kwa masharti, kaufyata kimya!! Na sasa anataka kuwanyamazisha wengine wasinyanyue sauti
 
Unachokisema ndo nilikisema wakanishambulia humu. Huyo Mzee hana credibility yoyote hata ya kukataza vijana kuvuta bangi.
 
Umeshawahi kuniona mimi nikibishana mambo ya Dini humu?
Hatamimi sijawahi lakini wadini kama Dr mihogo nimdini sana hatautawala wakikwete alisumbua sana nakama nimekuchukiza basi yamepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…