Kama umeelewa sema nimeelewa usikae kimyaMimi sijawahi kuuona huo "Udini" wa Dokta Cassava, hebu wewe nieleze umeuonea wapi kuwa Padre sio "Udini" ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeelewa sema nimeelewa usikae kimyaMimi sijawahi kuuona huo "Udini" wa Dokta Cassava, hebu wewe nieleze umeuonea wapi kuwa Padre sio "Udini" ndugu.
Aisee..!!! Au umetumwa.Kama umeelewa sema nimeelewa usikae kimya
Inaonekana basi watu wa chadema hawana misingi ya uzalendo wa kweli, ni maslahi tu yanawasumbua. Wanategemea sana mtu fulani. Kumbe wananunulika kirahisi. Tizama gaidi Mbowe, kawekwa ndani, kesi za kubambikiwa, katolewa, kwa masharti, kaufyata kimya!! Na sasa anataka kuwanyamazisha wengine wasinyanyue sautiKama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Sijatumwa nimetoa vitu kinaoj nilitaka kujuwa nawekama unavijuwaAisee..!!! Au umetumwa.
mpumbavu sana yeye na mm mwanakijiji
Umeshawahi kuniona mimi nikibishana mambo ya Dini humu?Sijatumwa nimetoa vitu kinaoj nilitaka kujuwa nawekama unavijuwa
Hatamimi sijawahi lakini wadini kama Dr mihogo nimdini sana hatautawala wakikwete alisumbua sana nakama nimekuchukiza basi yamepitaUmeshawahi kuniona mimi nikibishana mambo ya Dini humu?