Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Lakini uliamini ambao kwa miaka zaidi ya 10 walisema lowassa ni fisadi, ni furaha kwa mwenyezi Mungu wananchi wakimpiga lowassa mawe halafu mara hao hao wakampa kijiti agombee uraisi na wakakwambia mwenye ushahidi wa ufisadi wake aupeleke mahakamani.Unamwaminije mtu ambae haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita ccm mafusadi waovu wasiofaa lakini alitoka chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa
Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu
Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio
Slaa pale kwangu ndipo alionyesha msimamo zaidi ya kuwa anasimamia anachokiamini si masuala ya siasa siasa tu za uongo uongo.