Dkt. Slaa hata azungumze nini sitakaa nimsikilize au kumuamini

Dkt. Slaa hata azungumze nini sitakaa nimsikilize au kumuamini

Unamwaminije mtu ambae haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita ccm mafusadi waovu wasiofaa lakini alitoka chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa

Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu

Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio
Huo nao unyumbu, eti hata kama mtu ana point ya maana, humuamini siyo? Kwa sababu unamchukia binafsi
 
Kwahiyo unawaamini waliotoa orodha ya mafisadi Papa Mwembeyanga, miaka michache mbele wakamchukua fisadi mmojawapo na kumpa nafasi kugombea ngazi ya juu(cheo Cha juu) kuliko vyote nchini?, Huwa nahisi Kuna nguvu za giza zilitumika kuwafanya watu mataahira 2015, badala ya kushambulia waliomkaribisha Lowassa alishambuliwa Slaa na kuonekana mbaya, waliobadili gia angani walionekana wajanja.
Ila tukiweka utani pembeni hilo jambo linashangaza kweli.
 
Masikini [emoji1787][emoji115][emoji1787] umekurupuka bila kuelewa concept yang [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Next jikite kweny utambuz zaid ili uweze kujua ni jinsi gan waeza jibu mtu!!! Nimesema waz kbs Slaa yupo sahihi kweny hoja zake juu ya DP world, nikimjibu mtoa mada kumsema Slaa eti hawez kumuanin. That's why nikasema kuhusu wanasiasa kula matapishi ni kawaida yao kikubwa ni kuangalia hoja zao. Sasa ww umekurupuka bila kuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. NB; Labda nikusaidie kdg kuhusu uzalendo... Nchi hii hajawah tokea msafi na mzalendo zaid ya Mwalimu Julius kambarage Nyerere, wengine hamuez elewa.
Mzalendo zaid ya nyerere na sokoine bdo cjamwona Hawa wengine no chumia tumbo bro
 
Huo nao unyumbu, eti hata kama mtu ana point ya maana, humuamini siyo? Kwa sababu unamchukia binafsi
Hata Kama angesema mkataba no halali na mzuri nicngemwamin bdo amekosa uhalali kwangu kwenye Mambo ya siasa
 
Unamwaminije mtu ambae haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita ccm mafusadi waovu wasiofaa lakini alitoka chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa

Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu

Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio
Sawa maana sio lazima
 
Ila wakuwaamini ni Lissu na Mbowe waliosema Lowassa ni fisadi mpaka wakamtaja kwenye list of shame baadae hao hao wakamteua kuwa mgombea wao wa Uraisi
Bora hata wangemteua walimuuzia Ile nafasi Lisu na Mbowe walivuta mshiko
 
Dr slaa hakuwa kurudi CCM leta ushahidi wa kuwa alirudi ccm.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Wewe ndiyo unapaswa ulete ushahidi kuwa hakurudi. Mimi nimesema alirudi, ushahidi ni yeye kukubali vipande vya pesa na kwenda kuishi Canada na kisha kuwa Balozi wa Tz huko Belgium kwa maamuzi ya Mwenyekiti wa CCM Marehemu Magufuli
 
Back
Top Bottom