Dkt. Slaa hata azungumze nini sitakaa nimsikilize au kumuamini

Lakini uliamini ambao kwa miaka zaidi ya 10 walisema lowassa ni fisadi, ni furaha kwa mwenyezi Mungu wananchi wakimpiga lowassa mawe halafu mara hao hao wakampa kijiti agombee uraisi na wakakwambia mwenye ushahidi wa ufisadi wake aupeleke mahakamani.
Slaa pale kwangu ndipo alionyesha msimamo zaidi ya kuwa anasimamia anachokiamini si masuala ya siasa siasa tu za uongo uongo.
 
Hoja za Slaa zina mashiko hata kama haaminiki.
 
Ni Sawa lakini sasa Kumbuka hata Saa mbovu kuna wakati inasoma Kwa usahihi. [emoji3][emoji28]
 
Wanasiasa ndivyo walivyo

Leo nyekundu anakuambia blue

Kesho blue anakuambia nyeusi

[emoji1]

Ova
 
🤓 sure Padre Dr.W.P.Slaa haaminiki tena na hafai kuongoza kwani hana ustahimilivu wala ustaarabu amebaki na ujasiri wa madharau, matusi na dhihaka kwa watunga Sheria, serikali na Dollar yenyewe. Dola Lazima imdhibiti ipasavyo
 
Upande wa hoja yake kuhusu DP world yupo sahihi kwa jinsi alivyoweka hoja zake!! Hayo mengine nadhan ni tabia za wanasiasa wa bongo kwa ujumla!! Hakuna mwanasiasa wa bongo ambae hali matapishi yake!!
 
inategemea na sera ya chama chake sio kila kitu kitazungumzika
 
Tatizo Dr Slaa ana bei, hata kama ana hoja nzuri.

Mtu akipanda dau, anaweza kuusifia mkataba tena.

Mtu aliyeweka nadhiri kuwa mseja (padri), kisha akazaa watoto na mwanmke, halafu baada ya miaka kadhaa akatoka kwenye upadri. Akamuoa yule mwanamke, lakini alipokutana na Mushumbushi akamuacha mke aliyemuoa.

Akatoka CCM na kwenda CDM baada ya kutopendekezwa kugombea ubunge wa Karatu. Lakini akarudi CCM baada ya Lowassa kupendekezwa kugombea Urais.

Dr Slaa ni malaya wa siasa tu kama malaya wa Riverside au Buguruni
 
Dr Slaa anaeleweka kwa sifa yake ya kupinga ufisadi kutoka moyoni na hilo hauhitaji elimu kulitambua, na ni mtu anayesimamia anachokiaamini hili sababu za kuondoka Chadema alizitoa wazi wazi hakuwa mnafiki kumpokea mtu ambaye muda wote chama kilimchafua kwa kumsingizia ufisadi. Kwangu mimi Dr Slaa ni moja ya PHD wachache wa nchi hii ambaye ukimsikiliza akiongea unajua hapa kweli ni Dr anaongea yaani hachoshi kumsikiliza kama alivyokuwa Dr JPM.
 
Huna hoja unaleta ushabiki wa kipumbavu, hoja hujibiwa kwa hoja swala la kumuamini sisi hilo halituhusu unataka umuamini kwani Dr Slaa ni mumeo?
Sawa Mimi sio mkewe na siwezi kua lakin mtu anayeongea huku Ana njaa unamuamini vp pamoja na mabaya mengi yaliokuepo chini ya serikal ya awamu ya tano hakuthubutu kufungua mdomo wake coz alikua balozi anakula kuku kwa mrija leo hana ile nafas Teena ndo anajifanya Anna uchungu na nchii hii akalale zake
 
Mbona alivokua alivokua anakula ubalozi hakuwahi kuzungumza au ufisadi haukuwepo
 
Hii Nchi ina matutusa wengi sana

Lini Dr Slaa alirudi CCM?
Wewe ndio tutusa namba moja, Dr Slaa ana kadi ya Ccm, alivyotoka Chadema aliondoka kwa makubaliano na Ccm, huwezi kuteuliwa ubalozi kama siyo Mwana Ccm usijizime data.
 
Hoja za Slaa zina mashiko hata kama haaminiki.
Iko hivi,
1. Dr Slaa

2. Zitto Kabwe

3. Profesa Lipumba

Hawa ni gifted talented creatures, lakini kuwaamini hawa inabidi uwe na roho ya chuma, hawa watu watatu siyo watu na hawana credibility yoyote kwa watu wenye akili.

Sina sababu ya kueleza kwa nini hawana credibility lakini kama una fuatilia siasa hili utalielewa wazi.

Mimi nasubili maoni ya Mzee wangu Hashimu Rungwe, mwanasiasa mwenye exposure ya kutosha asiyeongozwa na njaa.
 
Hata akisema anakupenda na anataka akuoe uwe mke wake wa ndoa Bado hutaamini?
 
Once a traitor...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…