Dkt. Slaa hata azungumze nini sitakaa nimsikilize au kumuamini

Huo nao unyumbu, eti hata kama mtu ana point ya maana, humuamini siyo? Kwa sababu unamchukia binafsi
 
Ila tukiweka utani pembeni hilo jambo linashangaza kweli.
 
Mzalendo zaid ya nyerere na sokoine bdo cjamwona Hawa wengine no chumia tumbo bro
 
Huo nao unyumbu, eti hata kama mtu ana point ya maana, humuamini siyo? Kwa sababu unamchukia binafsi
Hata Kama angesema mkataba no halali na mzuri nicngemwamin bdo amekosa uhalali kwangu kwenye Mambo ya siasa
 
Sawa maana sio lazima
 
Ila wakuwaamini ni Lissu na Mbowe waliosema Lowassa ni fisadi mpaka wakamtaja kwenye list of shame baadae hao hao wakamteua kuwa mgombea wao wa Uraisi
Bora hata wangemteua walimuuzia Ile nafasi Lisu na Mbowe walivuta mshiko
 
Dr slaa hakuwa kurudi CCM leta ushahidi wa kuwa alirudi ccm.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Wewe ndiyo unapaswa ulete ushahidi kuwa hakurudi. Mimi nimesema alirudi, ushahidi ni yeye kukubali vipande vya pesa na kwenda kuishi Canada na kisha kuwa Balozi wa Tz huko Belgium kwa maamuzi ya Mwenyekiti wa CCM Marehemu Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…