Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Dada mwaj waukweli si umeshaambiwa nguo zimefungiwa jamani, sasa ulitaka asiende kwenye ufunguzi kisa nguo? Kuwa na huruma kwa wagonjwa.uvaaji gani huo? mibwanga kama mcheza shoo wa pepekale!! mi mtu akinivalia hivyo akatoka kwenye issue kubwa hivyo nampa likizo,
hapo ni nje hiyo bukta, boxer itakuwa imepwaya balaa
kamkimbia fisadi namba tisa kaenda kwa namba moja.Kweli watanzania ni wanafiki yaan Dr slaa alimuita kikwete ni fisadi namba moja leo anamsifia kwa kazi nzuri afu unasema dr slaa wa kipekee?
Yuko bize kufukuzia fursa, life baada ya 25/10/2015 lazima liwe determined sasa.Mushumbusi hajui kumvalisha Dr. Slaa.