Pre GE2025 Dkt. Slaa kuchuana na Lissu urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2025? Adai kadi yake ya uanachama wa CHADEMA bado iko hai!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa CHADEMA, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.

Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025

Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
Screenshot_20241031-210820.jpg
 
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.

Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025View attachment 3140042
Kigezo kimojawapo cha kuwa Askofu ni LAZIMA kwanza uwe Mkristo, lakini kigezo cha kuwa Mkristo peke yake hakitoshi kumfanya mtu kuweza kuwa Askofu. Yawezekana ulibadili dini Jana na kuwa Mkristo, hivyo hauwezi ku-qualify kuwa Askofu.
 
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.

Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025View attachment 3140042
actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
 
Lissu anawatia tumbo la kuhara Ma CCM wote. Mbona hata Mimi kadi ya CCM nimeilipia miaka 1000 ? 🤣🤣🤣
 
Ha
actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
Wakati anakula mema ya Mwendake, wenzake walikuwa wanatandikwa na mkono wa chuma ili chama kife tena akiwa kimya kabisa halafu leo mdio apewe hiyo nafasi badala ya Lissu au mtu mwingine ndani ya CHADEMA. Huo utakuwa ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu sana.
 
relax kwanza gentleman,
Mtu makini na aliefunzwa vyema maadili ya kula, ana observe table manners anapokua mezani anakula chakula. Haiwezekani uko mezani na tonge mdomoni unakula, halafu wakati huo huo unaongea, hiyo ni tabia mbaya 🤣

Lazma ujue kumtofatisha nyakati za kula na kuongea.

utakumbuka kwenye maandamano ya Mbeya, walipoyahitimisha, mtu pekee aliekaribishwa na kupewa nafasi ya kuzungumza ni moja tu, nae ni Dr Wilbroad Peter Slaa 🤣

Kibaraka alikua akishangaa tu huku akiwa amefura sana na akiwa anajiuliza, who is Dr.slaa chadema hata apewe nafasi ya kuzungumza pekeyake?

Pale,
ndipo Dr Slaa alipotambulishwa rasmi kua ndie mgombea urasi wa chadema. Chairman alishasema chadema haiweze kuongozwa na kibaraka wala kua na mgombea urasi kibaraka.

hata kupata mihemko na makasiriko ukasema huo ni upumbavu au ujinga haitasaidia chochote kubadili uhalisia huo 🐒
 
actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
Nikuona tu .jina lako ni pumba hata mtoto wangu ambae ni member humu huwa anacheka akiona comments zako.
 
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.

Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025

Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
Huyu ni Mzee wa kadi hai, hata kadi ya CCM pia aliilipia miaka mingi na bado anayo hakuirudisha! . Tulipo muuliza kwanini yupo Chadema huku ana kadi ya CCM iliuolipiwa miaka mingi mbele wakati wengine wakihama chama wanarudisha kadi au kuichoma?, akajibu kadi ya chama ni mali yake hivyo ameihifadhi kwa kumbukumbu tuu!
p
 
Back
Top Bottom