Pre GE2025 Dkt. Slaa kuchuana na Lissu urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2025? Adai kadi yake ya uanachama wa CHADEMA bado iko hai!

Pre GE2025 Dkt. Slaa kuchuana na Lissu urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2025? Adai kadi yake ya uanachama wa CHADEMA bado iko hai!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
c anakadi ya ccm na iko hai akachukue fomu kupitia ccm akashindanishwe na saa100 kwani lazma iwe chadema
 
c anakadi ya ccm na iko hai akachukue fomu kupitia ccm akashindanishwe na saa100 kwani lazma iwe chadema
hataki kushindana anataka Free tiketi na mbeleko ya chairman, kama alivyo kibaraka mlalamikaji na omba omba wa kimataifa anavyotamani kubebwa na chama hata kwenye mambo yake binafsi 🐒
 
hataki kushindana anataka Free tiketi na mbeleko ya chairman, kama alivyo kibaraka mlalamikaji na omba omba wa kimataifa anavyotamani kubebwa na chama hata kwenye mambo yake binafsi 🐒
na huku no free lunch, slaa kwa sasa niafadhali hata J.biden, labda awe kampeni manager wa Lisu
 
Hiko taarifa unayo wewe tu?
ni muhimu sana ukasubiri sasa namna ambayo kibaraka anapigwa chini kwa wakati muafaka na Dr Slaa anakua elevated kama mgombea urasi wa chadema 🐒
 
Back
Top Bottom