Huyu mzee nahisi atakuwa amepokea mziga wa Mama Abdul ili aivuruge CHADEMA ila.atashindwa.
Chama kinachoweza kuvurugika kirahisi hivyo kinayo kazi kubwa Zaidi ya kujitathmini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee nahisi atakuwa amepokea mziga wa Mama Abdul ili aivuruge CHADEMA ila.atashindwa.
Mawazo ya msomi kama Dr Slaaa ni sumu kwa nyamulenge wa Mzee MboweSasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
Hivi Mzee Mbowe alipokea ngapi hadi kumpatia Lowassa nafasi ya kugombea Urais?Huyu mzee nahisi atakuwa amepokea mziga wa Mama Abdul ili aivuruge CHADEMA ila.atashindwa.
Ccm imejaa wapumbavu huu ni Moja ya ushahidi.Kwa uzuzu wa chadema ataweza
Mawazo ya msomi kama Dr Slaaa ni sumu kwa nyamulenge wa Mzee Mbowe
Mbinu hiyo mnayoitumia imeshapita enzi za ujamaa sio leo tena. Bunini mbinu nyengine ya kuivuruga chadema sio hiyo ya kizamani.actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
Huyu Padre mstaafu kadri anavyozeeka, ndio anazidi kuwa bwege,mjinga, kilaza,Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
CHADEMA viongozi wake hawaeleweki naangalia jinsi kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa walivyotawanyika na kukaa kimya huku wengine wakiwa mapumzikon ulayaHuyu mzee nahisi atakuwa amepokea mziga wa Mama Abdul ili aivuruge CHADEMA ila.atashindwa.
Wakati wa uongozi wa Dr Slaa pale chadem walau tulikuwa na chama cha upinzani wa kweli leo kile cham kimegeuka kuwa ni SACCOS:SHAMEHuyu Padre mstaafu kadri anavyozeeka, ndio anazidi kuwa bwege,mjinga, kilaza,
Hapo linawaza, au linatumika na ccm, what a fucking regacy!
Gentleman , mbona iko wazi tu haina haja ya mihemko wala kushupaza shingo,Mbinu hiyo mnayoitumia imeshapita enzi za ujamaa sio leo tena. Bunini mbinu nyengine ya kuivuruga chadema sio hiyo ya kizamani.
Sijui kwanini unakuwaga muhuni muhuni na muongo kiasi hikiSasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
bilashaka yoyote huyo mtoto wako atakua anachekeshwa zaidi reply za babake ambazo hazina mawazo mapya wala fikra mbadala ispikua zimebeba kushupaza shingo na mihemko tu, dah 🤣Nikuona tu .jina lako ni pumba hata mtoto wangu ambae ni member humu huwa anacheka akiona comments zako.
Gentleman , mbona iko wazi tu haina haja ya mihemko wala kushupaza shingo,
Dr.Wilbroad Peter Slaa alitambulishwa rasmi kama ndio chaguo pekee la chairman kwa urais 2025.
Ikiwa unabisha,
waeleze wadau kwamba ilikuaje, baada ya maandamano ya Mbeya, hapakua na mtu mwingine alietambulishwa na kupewa nafasi ya kuzungumza zaidi ya Dr.Slaa?
Je,
kibaraka hakuwepo? Na je, hakua na la kusema? Na JE, Dr.Slaa ni nani chadema hata akapewa nafasi ya kuzungumza na waandamanaji wa mbeya na waTanzania kwa ujumla?🐒
ushahidi wa nini kwenye jambo ambalo liko wazi na lililofanyika mchana kweupe gentleman? YAANI mwamba katambilishwa hadharini unataka ushahidi?🤣Sasa hiyo mihemko unayosema umeshindwa nikuleta ushahidi ili tuone?
Huyo Slaa atachaguliwa na Wana Lumumba.Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
Mzee atulie ,kwa sasa kisiasa hakuna mwenye mvuto kama Lissu , chadema hawawezi fanya makosaSasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
sawa mzee ila kwa sasa uko dormant sana kuliko Lissu jama yuko active hivyo tutakuwa na LisuSasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
Sawa mzee ila kwa sasa uko dormant sana hapa chadema naona Lisu yuko active sana hivyo tutakuwa na Lisu bila shakaSasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.