Kigezo kimojawapo cha kuwa Askofu ni LAZIMA kwanza uwe Mkristo, lakini kigezo cha kuwa Mkristo peke yake hakitoshi kumfanya mtu kuweza kuwa Askofu. Yawezekana ulibadili dini Jana na kuwa Mkristo, hivyo hauwezi ku-qualify kuwa Askofu.Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025View attachment 3140042
Pia anayo ya ccm. Je hiyo ya ccm haiko hai?Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025View attachment 3140042
actually,Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025View attachment 3140042
Lissu anawatia tumbo la kuhara Ma CCM wote. Mbona hata Mimi kadi ya CCM nimeilipia miaka 1000 ? 🤣🤣🤣Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025View attachment 3140042
Hufuatilii malalamiko ya lissu kwamba Mbowe kapokea mzigo toka kwa mama Abdul?Huyu mzee nahisi atakuwa amepokea mziga wa Mama Abdul ili aivuruge CHADEMA ila.atashindwa.
Wakati anakula mema ya Mwendake, wenzake walikuwa wanatandikwa na mkono wa chuma ili chama kife tena akiwa kimya kabisa halafu leo mdio apewe hiyo nafasi badala ya Lissu au mtu mwingine ndani ya CHADEMA. Huo utakuwa ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu sana.actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
relax kwanza gentleman,Ha
Wakati anakula mema ya Mwendake, wenzake walikuwa wanatandikwa na mkono wa chuma ili chama kife tena akiwa kimya kabisa halafu leo mdio apewe hiyo nafasi badala ya Lissu au mtu mwingine ndani ya CHADEMA. Huo utakuwa ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu sana.
Nikuona tu .jina lako ni pumba hata mtoto wangu ambae ni member humu huwa anacheka akiona comments zako.actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025View attachment 3140042
Huyu ni Mzee wa kadi hai, hata kadi ya CCM pia aliilipia miaka mingi na bado anayo hakuirudisha! . Tulipo muuliza kwanini yupo Chadema huku ana kadi ya CCM iliuolipiwa miaka mingi mbele wakati wengine wakihama chama wanarudisha kadi au kuichoma?, akajibu kadi ya chama ni mali yake hivyo ameihifadhi kwa kumbukumbu tuu!Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa chadema, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20.
Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025
Soma Pia: Tundu Lissu arejea nchini, asema atagombea urais 2025 kuitikia wito wa Watanzania
View attachment 3140042
Kwa uzuzu wa chadema atawezaHuyu mzee nahisi atakuwa amepokea mziga wa Mama Abdul ili aivuruge CHADEMA ila.atashindwa.