Pre GE2025 Dkt. Slaa kuchuana na Lissu urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2025? Adai kadi yake ya uanachama wa CHADEMA bado iko hai!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkuu kwani kule CCM nao msimamo ni ule ule wa kuchapisha fomu moja?

Chama chochote chenye hofu ya wagombea kiasi Cha kudhamiria kuchapisha fomu moja kinayo kazi kubwa zaidi ya kujitathmini!
 
Mawazo ya msomi kama Dr Slaaa ni sumu kwa nyamulenge wa Mzee Mbowe

Hofu ya mawazo ya mtu ni laana bila kujali Hilo lipo CDM, CCM, ACT nk.

Kwani hofu hiyo imeshaondoshwa huko CCM na sasa kutakuwa na fomu zaidi moja?
 
actually,
iko wazi tangu mwanzo, kwamba huyu Dr.Slaa ndie chaguo namba moja la chairman wa chadema Taifa, la urais kupitia chadema na hata kibaraka alishaelezwa hilo na akashupaza shingo tu 🐒
Mbinu hiyo mnayoitumia imeshapita enzi za ujamaa sio leo tena. Bunini mbinu nyengine ya kuivuruga chadema sio hiyo ya kizamani.
 
Huyu mzee nahisi atakuwa amepokea mziga wa Mama Abdul ili aivuruge CHADEMA ila.atashindwa.
CHADEMA viongozi wake hawaeleweki naangalia jinsi kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa walivyotawanyika na kukaa kimya huku wengine wakiwa mapumzikon ulaya
 
Huyu Padre mstaafu kadri anavyozeeka, ndio anazidi kuwa bwege,mjinga, kilaza,
Hapo linawaza, au linatumika na ccm, what a fucking regacy!
Wakati wa uongozi wa Dr Slaa pale chadem walau tulikuwa na chama cha upinzani wa kweli leo kile cham kimegeuka kuwa ni SACCOS:SHAME
 
Mbinu hiyo mnayoitumia imeshapita enzi za ujamaa sio leo tena. Bunini mbinu nyengine ya kuivuruga chadema sio hiyo ya kizamani.
Gentleman , mbona iko wazi tu haina haja ya mihemko wala kushupaza shingo,

Dr.Wilbroad Peter Slaa alitambulishwa rasmi kama ndio chaguo pekee la chairman kwa urais 2025.

Ikiwa unabisha,
waeleze wadau kwamba ilikuaje, baada ya maandamano ya Mbeya, hapakua na mtu mwingine alietambulishwa na kupewa nafasi ya kuzungumza zaidi ya Dr.Slaa?

Je,
kibaraka hakuwepo? Na je, hakua na la kusema? Na JE, Dr.Slaa ni nani chadema hata akapewa nafasi ya kuzungumza na waandamanaji wa mbeya na waTanzania kwa ujumla?🐒
 
Nikuona tu .jina lako ni pumba hata mtoto wangu ambae ni member humu huwa anacheka akiona comments zako.
bilashaka yoyote huyo mtoto wako atakua anachekeshwa zaidi reply za babake ambazo hazina mawazo mapya wala fikra mbadala ispikua zimebeba kushupaza shingo na mihemko tu, dah 🤣

we badala ya kuandika mchele dhidi ya hizi pumba zangu unaandika ugoro 🤣

mwanao atakua hana mbavu huko 🐒
 
Sasa hiyo mihemko unayosema umeshindwa nikuleta ushahidi ili tuone?
 
Sasa hiyo mihemko unayosema umeshindwa nikuleta ushahidi ili tuone?
ushahidi wa nini kwenye jambo ambalo liko wazi na lililofanyika mchana kweupe gentleman? YAANI mwamba katambilishwa hadharini unataka ushahidi?🤣
 
Kwa hiyo ukilipia luku unit za miaka 50, Tanesco hawana hali ya kukata umeme au mimi ndio sijaela ndugu zangu? Nielewesheni...
 
sawa mzee ila kwa sasa uko dormant sana kuliko Lissu jama yuko active hivyo tutakuwa na Lisu
Sawa mzee ila kwa sasa uko dormant sana hapa chadema naona Lisu yuko active sana hivyo tutakuwa na Lisu bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…