johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Itakuwa ni Jambo jema ili kupanua uwanja wa demokrasiaNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Atakuwa amesoma vyema Alama za Nyakati, na atapiga sana hela.... Akiwa serious atifikia Jungu Kuu la Asali.Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Ndio hicho kinakujaSasa hivi hatuna chama cha upinzani ni sanaa tupu zinaendelea
Kwa Mdomo huo unafaa uwe Afisa Uhamasishaji wa Umoja PartyNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
😀😀Kwa Mdomo huo unafaa uwe Afisa Uhamasishaji wa Umoja Party
CDM ndio wanapaswa kuomba radhi kwa kuwasaliti watanzania na sarakasi zao za Lowasa na sasa 🍯🍯Atuombe radhi kwanza waTZ Kwa kutusaliti.
Eti anasema ana shida na pesa, kwaiyo alikuja kuchukua 20% baadae atazifuatwa 24% ili zitimie 44%Sasa hivi hatuna chama cha upinzani ni sanaa tupu zinaendelea
Una maana ni mmoja wa waanzilishi wa chama, ambaye anashikilia nafasi ya uongozi wa chama?Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Nani msaliti kati ya yule anayeenda kufungua mkutano wa siasa mwanza amelewa na aliyechukua rushwa kumkaribisha lowasa?Atuombe radhi kwanza waTZ Kwa kutusaliti.
Chaliifrancisco umefanananae huyuAtakuteua wewe uwe msemaji wa chama.