Achapombe cha pombe
Member
- Feb 11, 2023
- 96
- 182
Ahaaa ndio ile Kanda maalumNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Anzisha chama chako tuone.Sasa hivi hatuna chama cha upinzani ni sanaa tupu zinaendelea
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Ahaaa ndio ile Kanda maalum
Kama ni kaskazini wamechemka
Marehem asemwi vibaya,Tumwater Bob J apumzikeKiukweli Dr Slaa ni kama "Bob Junior" (Simba) umri umeshaenda hana Impact yoyote kwenye siasa anabakia kuongea tu, ndio maana jamii ya simba wanakufukuza ukikataa ndio wanakupiga kama Bob Junior
Bora watuondolee usanii wa Chadema maana wanajiita chama kikuu cha upinzani wakati Wana Mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa Bungeni.
Ni haki yake na tunamtakia mafanikio huko, lakini hiyo Umoja Party ipo???Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
DAKTA SLAA ni MSHEREHESHAJI tu, lakini wenye SHEREHE wapo.Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
labda watanzania wa sukuma gang waliouwa watu kupitia mpumbavu na muuwaji magufuli nduli na joka lililosimamia utekaji na upiga risas watanzania.Alisaliti wachaga siyo watanzania. Watanzania alituunga mkono kwa kuondoka kweñye chama cha kikabila na kuungana na muungwana mwenzake Magufuli
Ni ile ya kule kwa wakina nanih
Nitakuwa wa kwanza kuchangia pesa ya kujenga ofisiKama ni kweli basi Nitajenga Ofisi ya Chama ya Kata na nitakua Mwanachama kindaki ndaki .
Muhimu wafuate sera za Magufuli
Mbona matusi yote sio mapya? Hauna matusi mapya ili angalau tukuogope?labda watanzania wa sukuma gang waliouwa watu kupitia mpumbavu na muuwaji magufuli nduli na joka lililosimamia utekaji na upiga risas watanzania.
Huyo haaminiki tena kwa kuwa anashikiwa akili na mchumba wake JosephineDAKTA SLAA ni MSHEREHESHAJI tu, lakini wenye SHEREHE wapo.
Tatizo atawauza watuNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
SikumbukiUnakumbuka jibu alilotoa Tundu Lissu alipoulizwa kwanini wamekubali kupokea ruzuku ingawa sababu za kukataa mwanzo hazijabadilika? Mimi nilimwelewa vizuri ndio maana kuna directions mpya tunahitaji.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mfumo bandia kivipi na umoja party itaingia kwenye mfumo huo bandia au upi?Hakuamini Katika Mfumo huu bandia!
Mbona Raila ni mpinzani lakini alikuwa ndio Rafiki yake mkubwa!
Wakati mwingine MCHUMBA wako anaweza kuwa ni sehemu sahihi ya kupata na kupokea taarifa, kwahiyo katika hilo simshangai DAKTA SLAA.Huyo haaminiki tena kwa kuwa anashikiwa akili na mchumba wake Josephine
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Yeah.Identical?