Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt Slaa aliamua kusaliti kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt. Slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki Tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt. Slaa uliamua kuisaliti CHADEMA kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt. Slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt. Slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt. Slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt. Slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt. Slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt. Slaa nakushauri ifuatavyo:

Shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi CHADEMA ukaombe msamaha
 
Attachments

  • 1739640547364.jpg
    1739640547364.jpg
    224.7 KB · Views: 3
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt slaa aliamua kusaliti
kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt slaa uliamua kuisaliti chadema kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt slaa nakushauri ifuatavyo:

shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi chadema ukaombe msamaha
Is it?
 
Hv kati ya aliyekubali fisadi{kwa mjbu wao} kugombea urais na yule aliyemkataa fisadi nani msaliti?

Usaliti ni kunyamazia maovu au kupambana nayo?

Kwani siasa slaa amezianzia chadema au ccm? Rudi utafte asili ya siasa za slaa ndo uje kuteseka hapa!

Huwezi kuzungumzia viapo vya upadree wa slaa wakati we mwenyewe hujawi kuwa hata kateksita

kuna ya kupgia kelele katka nch hii kama vile shida ya maji wakat kuna maziwa, mito na bahari, ukosefu wa ajira, rushwa na upgaji, kujivunia kukopa{akili za mwendawazimu hz}, huduma mbovu za jamih, ukwapuaji wa rasilimali za nchi, mikataba mibovu, katiba mbovu{haiendani na mahitaji ya sasa}, na mengne mengi.

acha kuteseka na kuchanganyikiwa na ya dk slaa.

YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE.
 
CCM mwachieni mzee wetu, au mnataka mpaka awafie humo gelezani kwa kosa lenye dhamana ndiyo mfurahie? Mtalaanika nyie mfe vifo vibayaaa!!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt slaa aliamua kusaliti
kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt slaa uliamua kuisaliti chadema kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt slaa nakushauri ifuatavyo:

shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi chadema ukaombe msamaha
1. Slaa sio mkorofi bali hapendi kupelekeshwa
2. Slaa sio mbishi bali anajua
3. Slaa sio msaliti bali alifanya vuema kumkataa Lowasa...ilikuwa ni aibu kwa chadema kumpokea Lowassa
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt Slaa aliamua kusaliti
kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt. Slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt. Slaa uliamua kuisaliti chadema kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt. Slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt. Slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt. Slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt. Slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt. Slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt. Slaa nakushauri ifuatavyo:

Shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi CHADEMA ukaombe msamaha
Inamana mungu kakataza mapadre wasioe kumbe!!
 
Hv kati ya aliyekubali fisadi{kwa mjbu wao} kugombea urais na yule aliyemkataa fisadi nani msaliti?

Usaliti ni kunyamazia maovu au kupambana nayo?

Kwani siasa slaa amezianzia chadema au ccm? Rudi utafte asili ya siasa za slaa ndo uje kuteseka hapa!

Huwezi kuzungumzia viapo vya upadree wa slaa wakati we mwenyewe hujawi kuwa hata kateksita

kuna ya kupgia kelele katka nch hii kama vile shida ya maji wakat kuna maziwa, mito na bahari, ukosefu wa ajira, rushwa na upgaji, kujivunia kukopa{akili za mwendawazimu hz}, huduma mbovu za jamih, ukwapuaji wa rasilimali za nchi, mikataba mibovu, katiba mbovu{haiendani na mahitaji ya sasa}, na mengne mengi.

acha kuteseka na kuchanganyikiwa na ya dk slaa.

YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE.
Sikiliza mahojiano ya salim kikeke na dr slaa kwa kinywa chake alisema alipata upadre mwaka 1977 na baadae akenda italia kusoma 1979 mpaka 1983 baada ya kurudi akawa msaidizi wa askofu jimbo la mbulu

Acha kuondika uongo tena kwa kujiamini
 
Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!
Ebu tuwekee credentials zako hapa tukulinganishe na Dr Slaa unayemponda.
Dr Slaa ni mwanasiasa mwenye misimamo thabiti isiyoyumba no matter what; huwezi kumlinganisha na wanasiasa wenu hawa uchwala.
Unataka akaombe msamaha chadema ili iweje? Chadema ndiyo wanapaswa kumuomba msamaha kwa kukodisha chama kwa fisadi ili agombelee urais.
We acha upuuzi.
 
Kuna vijitu humu ni vi form four failures ila humu vinajitutumua kama navyo ni vijitu vya maana.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt Slaa aliamua kusaliti
kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt. Slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt. Slaa uliamua kuisaliti chadema kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt. Slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt. Slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt. Slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt. Slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt. Slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt. Slaa nakushauri ifuatavyo:

Shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi CHADEMA ukaombe msamaha
Tatizo sio mtanzania tunanzia hapo
 
Msimamo upi alionao hasa? Kuachana na chadema na kujiunga na Serikali ya CCM na kisha kukubali uteuzi? Huo ndiyo msimamo?!
Ebu tuwekee credentials zako hapa tukulinganishe na Dr Slaa unayemponda.
Dr Slaa ni mwanasiasa mwenye misimamo thabiti isiyoyumba no matter what; huwezi kumlinganisha na wanasiasa wenu hawa uchwala.
Unataka akaombe msamaha chadema ili iweje? Chadema ndiyo wanapaswa kumuomba msamaha kwa kukodisha chama kwa fisadi ili agombelee urais.
We acha upuuzi.
 
Bado mmoja anakaribia kujaa kwenye mfumo. Leo alikuwa annual madumu ya alizeti apate fedha ya kutukana watanzania
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt Slaa aliamua kusaliti kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt. Slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki Tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt. Slaa uliamua kuisaliti CHADEMA kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt. Slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt. Slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt. Slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt. Slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt. Slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt. Slaa nakushauri ifuatavyo:

Shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi CHADEMA ukaombe msamaha
huyo Mzee ana laana wala hakuna haja kubabaika nae 🐒
 
Ebu tuwekee credentials zako hapa tukulinganishe na Dr Slaa unayemponda.
Dr Slaa ni mwanasiasa mwenye misimamo thabiti isiyoyumba no matter what; huwezi kumlinganisha na wanasiasa wenu hawa uchwala.
Unataka akaombe msamaha chadema ili iweje? Chadema ndiyo wanapaswa kumuomba msamaha kwa kukodisha chama kwa fisadi ili agombelee urais.
We acha upuuzi.
Alipinga fisadi kuja chadema alafu akaenda kujiunga kwenye chama kilicho jaa na kufuga mafisadi,huo ndo msimamo gani?
 
Uko sahii
Kuna mambo yanashangaza sana hasa mtu anaposema dr slaa anamsimamo yule ni opportunist
 
Back
Top Bottom