Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

Hebu tulia dogo sioni kama una jipya.
Hii ndio shida ya vitoto vya 2000, usikute Mimi ni babu yako kabisa afu unaniita dogo ?
Bora ungekuwa na akili, ungejenga hoja ila huna hoja.
 
Hoja ni ile inayokufarahisha ww, unakwama wapi dogo?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt Slaa aliamua kusaliti kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt. Slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki Tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt. Slaa uliamua kuisaliti CHADEMA kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt. Slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt. Slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt. Slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt. Slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt. Slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt. Slaa nakushauri ifuatavyo:

Shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi CHADEMA ukaombe msamaha
Wewe ni mbumbumbu usiyejua lolote kuhusu siasa za nchi hii, ni heri ungekaa kimya, kumyamaza ni kipimo cha busara.

Dr. Slaa alijiengua Cdm baada ya Mbowe kununuliwa na fisadi Lowasa kugombea Urais.

Dr Slaa alishindwa kula matapishi yake.

kwa kitendo hicho jamii nzima ya Tz kasoro wewe tu, ilimuunga mkono.

Dr Slaa hajawahi kurejea ama kupokelewa Ccm tangia ajiengue Cdm na hilo aliliweka wazi wakati anajiengua kuwa atabakia bila chama na kuwa mshauri ama raia wa kawaida.

Cheo cha Ubalozi alichopewa hakitokani na kurejea kwake Ccm bali ni kutokana na Dr Magufuli kuzikubali sera alizokuwa akizihubiri Dr Slaa kipindi yupo katika nafasi ya uongozi wa Cdm, ndiyo hizo Magufuli alizipenda na kuzifanyia kazi kipindi cha utawala wake, hivyo Magufuli alimkubali na kumpenda sana Dr Slaa na leo angekuwepo asingetendewa uonevu huu anaotendewa sasa.

Anachokipigania Dr Slaa kina maslahi mapana kwa waTz, siyo kama ninyi mnamwaga fitina zenu za kichawa humu kwa maslahi ya matumbo yenu.
Shem on you.
 
waliomtangaza lowasa fisadi halafu baadaye wakampokea na kumtembeza nchi nzima na dk Slaa alikataa unafiki wa aina hii nani sasa msaliti hapo
 
Kwa hiyo kufungwa kwa kutetea jambo ni mkosi!!?
Mzee Mandela maana yake alikuwa na mkosi!!??

Kichwa kazi yake si kubeba macho,masikio,pua na mdomo.
Tumia kichwa vizuri kwa kazi yake halali, labda iwe tu umeumbwa na ubongo taahira.
 
Hv kati ya aliyekubali fisadi{kwa mjbu wao} kugombea urais na yule aliyemkataa fisadi nani msaliti?

Usaliti ni kunyamazia maovu au kupambana nayo?

Kwani siasa slaa amezianzia chadema au ccm? Rudi utafte asili ya siasa za slaa ndo uje kuteseka hapa!

Huwezi kuzungumzia viapo vya upadree wa slaa wakati we mwenyewe hujawi kuwa hata kateksita

kuna ya kupgia kelele katka nch hii kama vile shida ya maji wakat kuna maziwa, mito na bahari, ukosefu wa ajira, rushwa na upgaji, kujivunia kukopa{akili za mwendawazimu hz}, huduma mbovu za jamih, ukwapuaji wa rasilimali za nchi, mikataba mibovu, katiba mbovu{haiendani na mahitaji ya sasa}, na mengne mengi.

acha kuteseka na kuchanganyikiwa na ya dk slaa.

YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE.
Slaa alikiri mwenyewe kuwa alishirikiana na viongozi wa CDM kumkaribisha Lowasa CDM tatizo analosema kumkimbiza CDM ni Lowasa kupeewa Bendera ya kueperusha CDM badala ya yeye. Yote kwa yote kitendo cha kwenda CCM ni hakikiwa chaguo jema na kuanza kuwakana viongzi wenzake hasa kipindi Mbowe yuko ndani na kusema anawashangaa watu wanaosema mbowe siyo Gaidi kama vile tayari ameshahukumiwa.
Pia wacha kusaliti CDM Slaa alimsaliti mwanamke wake wwa kwanza Rozi kamili na kwenda kuzaa na mke wa mtu. Kama kiongozi wa kiroho alipaswa kuwa kioo kwa jamii. Slaa pamoja na uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja si ya mtu wakumuamini kwenye mapambano serious. Ni mtu mwenye Roho ya Tamaa nakujiona yeye ni Bora kusaliti kwake siyo issue wala haogopi. Mimi sifurahii Slaa kuwekwa ndani kinyume na Sheria ila natoa tahadhari sana kwa watu walio karibu naye wasimpe siri zote ni Rais sana kuwauza. Kwa kawaida,, na siri za kambi huwa hazitolewi nje kwa wale walio idhuria Jando la Porini hata kama utashikiwa kisu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt Slaa aliamua kusaliti kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt. Slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki Tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt. Slaa uliamua kuisaliti CHADEMA kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt. Slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt. Slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt. Slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt. Slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt. Slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt. Slaa nakushauri ifuatavyo:

Shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi CHADEMA ukaombe msamaha
Umeandika ujinga sana heri katafte pesa ...
 
Uzalendo wa Dr Slaa Nchi hii Si wa kutiliwa shaka,

Lissu alitubu kuwa ilikuwa dhambi kumleta Lowwassa CHADEMA, sasa usaliti wa Dr Slaa uko wapi?
 
Hv kati ya aliyekubali fisadi{kwa mjbu wao} kugombea urais na yule aliyemkataa fisadi nani msaliti?

Usaliti ni kunyamazia maovu au kupambana nayo?

Kwani siasa slaa amezianzia chadema au ccm? Rudi utafte asili ya siasa za slaa ndo uje kuteseka hapa!

Huwezi kuzungumzia viapo vya upadree wa slaa wakati we mwenyewe hujawi kuwa hata kateksita

kuna ya kupgia kelele katka nch hii kama vile shida ya maji wakat kuna maziwa, mito na bahari, ukosefu wa ajira, rushwa na upgaji, kujivunia kukopa{akili za mwendawazimu hz}, huduma mbovu za jamih, ukwapuaji wa rasilimali za nchi, mikataba mibovu, katiba mbovu{haiendani na mahitaji ya sasa}, na mengne mengi.

acha kuteseka na kuchanganyikiwa na ya dk slaa.

YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE.
Huyo babu ni mbaguzi, ni mdini mnoo, shida yake sahv ni uislam wa Samia. Alimkubali Magu kwasababu alikuwa mkatoliki mwenzake.
 
Slaa alikiri mwenyewe kuwa alishirikiana na viongozi wa CDM kumkaribisha Lowasa CDM tatizo analosema kumkimbiza CDM ni Lowasa kupeewa Bendera ya kueperusha CDM badala ya yeye. Yote kwa yote kitendo cha kwenda CCM ni hakikiwa chaguo jema na kuanza kuwakana viongzi wenzake hasa kipindi Mbowe yuko ndani na kusema anawashangaa watu wanaosema mbowe siyo Gaidi kama vile tayari ameshahukumiwa.
Pia wacha kusaliti CDM Slaa alimsaliti mwanamke wake wwa kwanza Rozi kamili na kwenda kuzaa na mke wa mtu. Kama kiongozi wa kiroho alipaswa kuwa kioo kwa jamii. Slaa pamoja na uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja si ya mtu wakumuamini kwenye mapambano serious. Ni mtu mwenye Roho ya Tamaa nakujiona yeye ni Bora kusaliti kwake siyo issue wala haogopi. Mimi sifurahii Slaa kuwekwa ndani kinyume na Sheria ila natoa tahadhari sana kwa watu walio karibu naye wasimpe siri zote ni Rais sana kuwauza. Kwa kawaida,, na siri za kambi huwa hazitolewi nje kwa wale walio idhuria Jando la Porini hata kama utashikiwa kisu.
Dr Slaa hakuondoka CHADEMA kwasababu ya kutokupewa nafasi ya kugombea, hapa umeandika pumba tu nenda kafwatilie vizuri ameongea mara mbili sababu za kujiondoa .
 
Wewe ni mbumbumbu usiyejua lolote kuhusu siasa za nchi hii, ni heri ungekaa kimya, kumyamaza ni kipimo cha busara.

Dr. Slaa alijiengua Cdm baada ya Mbowe kununuliwa na fisadi Lowasa kugombea Urais.

Dr Slaa alishindwa kula matapishi yake.

kwa kitendo hicho jamii nzima ya Tz kasoro wewe tu, ilimuunga mkono.

Dr Slaa hajawahi kurejea ama kupokelewa Ccm tangia ajiengue Cdm na hilo aliliweka wazi wakati anajiengua kuwa atabakia bila chama na kuwa mshauri ama raia wa kawaida.

Cheo cha Ubalozi alichopewa hakitokani na kurejea kwake Ccm bali ni kutokana na Dr Magufuli kuzikubali sera alizokuwa akizihubiri Dr Slaa kipindi yupo katika nafasi ya uongozi wa Cdm, ndiyo hizo Magufuli alizipenda na kuzifanyia kazi kipindi cha utawala wake, hivyo Magufuli alimkubali na kumpenda sana Dr Slaa na leo angekuwepo asingetendewa uonevu huu anaotendewa sasa.

Anachokipigania Dr Slaa kina maslahi mapana kwa waTz, siyo kama ninyi mnamwaga fitina zenu za kichawa humu kwa maslahi ya matumbo yenu.
Shem on you.
Mbumbumbu ni wewe uliyesoma bila kuelewa nilichoandika
 
Back
Top Bottom